Hakuna ndege isiyoonekana kwenye radarF-47 zipo kwenye hatua za mwisho kukamilika, mwenyewe trump amezisifia Sanaaa Kwa uwezo wake wa kutoonekana kwenye rada za Aina zote duniani hii itakuwa fighter jet ya Kwanza kuweza kwenda sehemu yeyote duniani bila kuongeza mafuta
Why 47? Trump is the 47th POTUS.F-47 zipo kwenye hatua za mwisho kukamilika, mwenyewe trump amezisifia Sanaaa Kwa uwezo wake wa kutoonekana kwenye rada za Aina zote duniani hii itakuwa fighter jet ya Kwanza kuweza kwenda sehemu yeyote duniani bila kuongeza mafuta
Makopo kwa ajili ya kupuna hela za watuWhy 47? Trump is the 47th POTUS.
Na ukivunwa hela huku ukijuwa ni makopo utakuwa pumbavu zaidi. Na atavuna za kutosha.Makopo kwa ajili ya kupuna hela za watu
Bad news.F-47 zipo kwenye hatua za mwisho kukamilika, mwenyewe trump amezisifia Sanaaa Kwa uwezo wake wa kutoonekana kwenye rada za Aina zote duniani hii itakuwa fighter jet ya Kwanza kuweza kwenda sehemu yeyote duniani bila kuongeza mafuta
Kuwa tajiri siyo kuwa mjuzi sana wa mambo kuliko wengine,hasa ukizangatia utajiri wake aliorithi kwa babaake una magumashi mengi
Sisi hatuishi kwa kupora na kukandamiza wengine
Kiburi cha mali kimeanza. Usiku huu ikimpendeza BWANA Mungu wa Majeshi aweza kumwambia mpunbavu wewe naitaka roho yako usiku huu! Mali bila hofu ya Mungu ni ubatili; akajifunze kwa Suleiman.
Boeng imepewa ili ifufuke ..Trump ametoa kandarasi kqa kampuni ya boeng kutengeneza ndege za kizazi cha sita ambacho kitajulikana kama F-47
Boeng imepewa ili ifufuke ..
Naona wanatafuta sehem ya kutakatisha fedhaWhy 47? Trump is the 47th POTUS.
Hii ndege itakuwa ya kwaida sana ila itapewa promo balaa na vyombo vyao kama foxBusiness as usual.
Trump ana hela kuliko nchi yako; Trump anajitolea kuitumikia nchi yake hahitaji mshahara wala posho.Naona wanatafuta sehem ya kutakatisha fedha