Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,574
- 38,169
Hapa angalau umenijibu MKUUZinatumika sana ndio maana zinapata ajali. Nenda India kawaulize kwanini Migs zao zinapata sana ajali kuliko za Urusi, Egypt au kwingineko. Air Marshall wao mmoja aliwahi sema ni bora apate ajali nyingi kipindi cha amani kuliko kufikia vitani marubani wake hawajui kuzitumia ndege katika extreme conditions.
Urusi huwa inafanya war games na drills kwenye mazingira mazuri kabisa, matokeo yake hawawezi rusha ndege anga la Ukraine kufanya aerial denial na kuweka no fly zone mpaka leo.
Na ajali za ndege zinapimwa kwa vitu vingi, number of flights, idadi ya ndege kwenye operations, flight hours, n.k. Tafuta list ya worst airplanes kwenye safety uone zilivyojazana Tupolev na Antonov za Mrusi.
Safety records zinaonyesha F-35 ni very safe tafuta uzisome data zake. Na tukienda kwenye ratio, Russia ana Su-57 hata kumi hazifiki ukiachana na prototypes ambazo hatuzihesabu, ila Su-57 moja iliwahi anguka, so technically zaidi ya 10% ya Su-57View attachment 2392835
Wakati F-35 zipo zaidi ya 800 na humohumo zipo B na C version za Marines na Navy ambazo kwa kawaida hupata ajali nyingi kuliko za Airforce. Yani hapo unalinganisha safety standards baina ya ndege ya maonyesho ambayo hakuna hata squadron iko available dhidi ya ndege zinazofanya kazi nchi tofauti duniani kuanzia Japan, South Korea, Israel, UK, US na kwingine
Kunywa maji mengi dogounatype ukiwa umevaa boxer made in CHINA , kiwanda kinachomilikiwa na mmarekan halaf unawaita wapigaj , bas kuwa makin na hiyo boxer isije raruka mabash tukaiona iyo ndogo yko
RealityNyinyi mpaka leo Su-57 haina injini yake yenyewe. Hata ndege 10 tu hamna, mnazo za kupigia picha. Wakati Marekani ina F-22 zaidi ya 180 na LM imeunda F-35 zaidi ya 800. Hamna hata squadron moja ya stealth fighter, China yenyewe ikikaa miaka 10 inawapiku hatua ndefu.
Hata T-14 Armata mnazo chache za kufanyia parade pale Red Square
Huyo bado hajui chochote kuhusu Russia hana tofauti na Zelensky anaekula dailyFicha ushamba wako unajua vizazi vya SU na MIGs wewe?
Tumia bando vizuri
Anajifanya mjuaji ila ukimuambia f35 zimeuzwa kwa kusifiwa tu ni bado zilifaa kuwa kwenye majaribio jitu linashupaza shingoHuyo bado hajui chochote kuhusu Russia hana tofauti na Zelensky anaekula daily
Umeona ngapi zimecrash? Fualitilia kwanza. And why F35? Ambazo mmezifia saaana, huko juu nimekupa mifano kama 6 ya haraka achia mbali zile walizoficha taarifaYa russia imedondoka juzi kwenye makazi ya watu imeua watu 11 ....ndege kudondoka sio ishu njoo na habar nyingine ya chuki...sio hii
Ni ajabu pro NATO wengi wanapenda kujifananisha kila Mara na Urusi.7
Ndio maana nakwambia wewe bado. Urusi si inazo Su-75 Checkmate kwenye makaratasi na kwenye designing bureaus. Ikitokea wanataka kuitumia sasa hivi wanaweza?
Wanazo T-14 kwenye maonyesho na sherehe. Wakienda vitani watazitumia?
Wanayo Su-70 Okhotnik kama stealth bomber. Iko kwenye makaratasi na kwenye designing phase. Wakienda vitani wataitumia?
Wanazo Armata universal platforms na Bumerang kwenye maonyesho. Vitani watazitumia?
Kwenye silaha hatuzingatii ambayo haijapokelewa kwenye vikosi. Kama ingekuwa hivyo basi hadi sasa tungekuwa tunaihesabu Sukhoi Su-47 Berkut ambayo ni forward swept wing. Waliiunda ikakamilika ila wakaamua wasiilete kwenye matumizi, sababu wanazo.
Hiyo Su-57 iko assigned wapi ndani ya Russian Airforce? Ndege zinazoendeshwa na test pilots wa JS Sukhoi ndio unatishia nazo. Yani uko unatishia mtaa na gari la Masudi Kipanya linalofanyiwa majaribio wakati watu wanazo Kirikuu mtaani
Kituo cha Jeshi la Wanahewa huko Utah kilianguka mwisho wa kaskazini mwa njia ya ndege, kulingana na mrengo huo.lete kwa kiswahili[emoji52]
Download Google translate itakuletea lugha unayoitakalete kwa kiswahili[emoji52]
Hilo limepostiwa kila idhaa ila hii mmenyamaza sio poa 😄😄😄😄Ya russia imedondoka juzi kwenye makazi ya watu imeua watu 11 ....ndege kudondoka sio ishu njoo na habar nyingine ya chuki...sio hii
Wanahama madaNi ajabu pro NATO wengi wanapenda kujifananisha kila Mara na Urusi.
F35 imedondoka wanaanza kufananinisha mbona hata su 34 nayo imeanguka juzi
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hivi wewe jamaa,niambie,USA na hata hao NATO waliwahi kuweka no fly zone wapi?Zinatumika sana ndio maana zinapata ajali. Nenda India kawaulize kwanini Migs zao zinapata sana ajali kuliko za Urusi, Egypt au kwingineko. Air Marshall wao mmoja aliwahi sema ni bora apate ajali nyingi kipindi cha amani kuliko kufikia vitani marubani wake hawajui kuzitumia ndege katika extreme conditions.
Urusi huwa inafanya war games na drills kwenye mazingira mazuri kabisa, matokeo yake hawawezi rusha ndege anga la Ukraine kufanya aerial denial na kuweka no fly zone mpaka leo.
Na ajali za ndege zinapimwa kwa vitu vingi, number of flights, idadi ya ndege kwenye operations, flight hours, n.k. Tafuta list ya worst airplanes kwenye safety uone zilivyojazana Tupolev na Antonov za Mrusi.
Safety records zinaonyesha F-35 ni very safe tafuta uzisome data zake. Na tukienda kwenye ratio, Russia ana Su-57 hata kumi hazifiki ukiachana na prototypes ambazo hatuzihesabu, ila Su-57 moja iliwahi anguka, so technically zaidi ya 10% ya Su-57View attachment 2392835
Wakati F-35 zipo zaidi ya 800 na humohumo zipo B na C version za Marines na Navy ambazo kwa kawaida hupata ajali nyingi kuliko za Airforce. Yani hapo unalinganisha safety standards baina ya ndege ya maonyesho ambayo hakuna hata squadron iko available dhidi ya ndege zinazofanya kazi nchi tofauti duniani kuanzia Japan, South Korea, Israel, UK, US na kwingine
Walimuoneaga Gadaff tuHivi wewe jamaa,niambie,USA na hata hao NATO waliwahi kuweka no fly zone wapi?
Nitajie
Mbona kama umepaniki mkuu!!!Punguza chuki....nchi yako hata kompas la shule hawawezi kutengeneza
Israeli huwa akizipokea ana modifyMradi wa hovyo kabisa wa hizi ndege kutokea mwaka jana mpaka leo kama sio saba basi ndege tano zishaangushwa kwa upepo
Us taifa lawapigaji T14 Armata
Ni ajabu pro NATO wengi wanapenda kujifananisha kila Mara na Urusi.
F35 imedondoka wanaanza kufananinisha mbona hata su 34 nayo imeanguka juzi
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Sababu us ndio taifa lenu lakutolewa mfanoUrusi imevamia Ukraine ila Proputin kila mara wanasema mbona hata US inavamia nchi nyingine.
Hao ni ndugu tulia wanyooshaneUrusi imevamia Ukraine ila Proputin kila mara wanasema mbona hata US inavamia nchi nyingine.