F-35 Has Crashed At Hill Air Force Base

Haya hana uwezo nyie wenye uwezo hizo F35 mbona zinapukutika kwa ajali,

Nimekuona umekwepa kujadili UZI una- deviate kwenye SU57 🤣🤣🤣🤣 turudi kwenye meza ya.majadiliano, tufanye su57 hazipo😅😅
 
Nadhani ni vile wanazo nyingi, so which one comes in first, depends on the current situation and needs
Vingi ila kati ya hivyo vingi vipo obsolete. Mwaka 2022 ila superpower anatumia hadi T-64 vitani
 
Haya hana uwezo nyie wenye uwezo hizo F35 mbona zinapukutika kwa ajali,

Nimekuona umekwepa kujadili UZI una- deviate kwenye SU57 🤣🤣🤣🤣 turudi kwenye meza ya.majadiliano, tufanye su57 hazipo😅😅
F-35 zinapata ajali kwa sababu zipo. More than 800 units. Su-57 hazipati ajali kwa sababu hata 10 hazifiki. Tangu F-35 ziwe introduced duniani zilisharuka flight hours zaidi ya 500,000. Masaa laki tano, angani wakati Warusi hizo Su-57 hata masaa alfu tano huyapati
 
Unajua f22 sipo ngapi? Ushawahi kusikia TZ ina silaha za aina ngapi na kwa quantity ipi? Achana na sifa za mitandaoni ndio maana hata bajeti ya wizara ya ulinzi hupitishwa na Bunge.bila kuhojiwa na hakuna cha Audit, unaelewa maana yake?

Haya one hujajua kama su57 ni operational na juzi zimemtungua su27 ya Ukraine nyumbani kwake ndio watu wanashtuka hapo ndio ujiulize kuna siri kiasi gani.

Silaha hutangazwa wakati wa.amani ili kutafuta ila sio kipindi chenye tension ya vita kama hiki. Kama unadhani zipo 10 basi US auze hizo f35 800+ kwa NATO members halafu abaki na f22 ambazo hakuuza hata pisi1 theni waivamie Russia
 
Urusi kununua silaha kutoka Iran haimaanishi ameishiwa silaha bali anacho jaribu kufanya ni kupunguza gharama za vita kwasababu silaha kutoka Iran ni gharama ndogo ukilinganisha na silaha zake,
Kingine anajaribu kulinda nguvu zake za kijeshi ,viongozi wa Urusi sio wapumbavu kiasi hicho eti wawe wanasomba silaha tu kutoka kwenye maghara na kupeleka Ukraine wakati wanatambua kuwa bado wana maadui kibao.
Alafu kingine silaha pekee za Iran zinazo tumika nchini Ukraine ni drone tu.

Alafu ukifuatiria drone za Iran zinatumika kulenga target za masafa marefu lakini kwenye msitari wa mbele naona Urusi ana tumia drone zake aina ya zara kulipua vifaru na vifaa vingine vya kijeshi kwa hiyo Urusi drone inazo.

Ila hizo drone za Iran ni kiboko yaani zinapiga target ya kilometa zaidi 2000.
 
Watoto hawa hawatakuelewa. Hawajiuli wapi US the SUPAPAWA alishapigana pekeyake? Hata talebani waliwatoa jasho
 
Unajua kuwa Su-57 ni jibu la F-22. Su-57 ilipangwa tangu 1987 ila Soviet Union ikavunjika. Mradi ukaanzishwa upya mwaka 2002. Hapo Marekani alishaunda F-22 ashamaliza, akaunda hadi F-35 wakati bado Russia yuko anajikongoja na Su-57.

Au unadhani India ni wapumbavu walipoamua kujitoa kwenye hiyo project pamoja na kwamba walikuwa washalipa hela nyingi. Hakuna squadron hata moja, hata Syria Su-57 zilienda kupigwa picha. Uko Ukraine hakuna ndege ya Urusi inaingia deep within enemy territory. Hizo porojo unaamini, its very risky kupeleka hiyo ndege anga la Ukraine. Hakuna anayetaka aibu
 
Najifunza mengi sana mkuu kutoka kwako,
You are loaded with aviation information
 
Kuna mambo tunataka kuyaona in Action hizo F35 has proven ni prematurely produced, ni Israel pekee ndio alipewa license ya kuzifanyia modifications na sio nchi yeyote ile ya NATO hata UK. we jua tu makopo yenu yanadondoka kwenye mazoezi 😄😄😄😄😄
 
Aibu kubwa ni hii. Technically zaidi ya 10% ya Su-57 zimedondoka, kwa sababu zilizopo hazifiki 10. Tena ilidondoka siku ya kwanza, na iliendeshwa na rubani wa kiraia. Ndio maana nakwambia hakuna Su-57 ya kufanya operation ndani ya Ukraine kwa vile hakuna kikosi cha Urusi chenye hizo ndege. Wanaoendesha ni marubani wa mtengenezaji
 
Mradi wa hovyo kabisa wa hizi ndege kutokea mwaka jana mpaka leo kama sio saba basi ndege tano zishaangushwa kwa upepo

Us taifa lawapigaji T14 Armata
unatype ukiwa umevaa boxer made in CHINA , kiwanda kinachomilikiwa na mmarekan halaf unawaita wapigaj , bas kuwa makin na hiyo boxer isije raruka mabash tukaiona iyo ndogo yko
 
Ndege zenyewe tunazobishania ni hizi zinazotengenezwa kwenye mazingira ya namna hii. Unategemea precision na TQM hapa?

Dhidi ya ndege zinazotengenezwa mazingira haya
Inatengenezwa ndege moja moja kama daraja. Hapa kwenye facility kuna F-35 nyingi zaidi kuliko Su-57 zote zilizoko Urusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…