EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
LengoLisiloonekana😎Jina unajiitaje vile?
Mradi wa hovyo kabisa wa hizi ndege kutokea mwaka jana mpaka leo kama sio saba basi ndege tano zishaangushwa kwa upepo
Us taifa lawapigaji T14 Armata
Hapa sijaongelea uwingi lkn wala uchache mbna umeongea mengi hvNyinyi mpaka leo Su-57 haina injini yake yenyewe. Hata ndege 10 tu hamna, mnazo za kupigia picha. Wakati Marekani ina F-22 zaidi ya 180 na LM imeunda F-35 zaidi ya 800. Hamna hata squadron moja ya stealth fighter, China yenyewe ikikaa miaka 10 inawapiku hatua ndefu.
Hata T-14 Armata mnazo chache za kufanyia parade pale Red Square
Western media zote zime-mute juu ya hili kama halijatokeaPro NATO Watasema Ni hujuma za Putin[emoji4]
Ndio mnasemaga yakitokea NATO ila ile ajali ya SU34 mlipamba magazeti yooote ya duniaHuman au technical error
Subiria uchunguzi, haraka ya nini?Ndio mnasemaga yakitokea NATO ila ile ajali ya SU34 mlipamba magazeti yooote ya dunia
Ficha ushamba wako unajua vizazi vya SU na MIGs wewe?Nyinyi mpaka leo Su-57 haina injini yake yenyewe. Hata ndege 10 tu hamna, mnazo za kupigia picha. Wakati Marekani ina F-22 zaidi ya 180 na LM imeunda F-35 zaidi ya 800. Hamna hata squadron moja ya stealth fighter, China yenyewe ikikaa miaka 10 inawapiku hatua ndefu.
Hata T-14 Armata mnazo chache za kufanyia parade pale Red Square
Mi uchunguzi wa nini ishu ni ndege kudondoka maana yake bado inahitaji maboresho kama HIMARS tu zinavyopopoa mashamba huko Ukraine 🤣🤣Subiria uchunguzi, haraka ya nini?
HahaaJina unajiitaje vile?
Hakuna chombo kisichopewa matengenezo na repair.Mi uchunguzi wa nini ishu ni ndege kudondoka maana yake bado inahitaji maboresho kama HIMARS tu zinavyopopoa mashamba huko Ukraine 🤣🤣
Utaelewa ukisoma ukiwa na dictionarySijaelewa kitu
Nakazialete kwa kiswahili😐