Wewe binafsi, kabla uzi haujaa wanga, umewahi kutoa mchango wowote chadema, au kulipia ada ya uanachama wako?Nimemsikia mjumbe wa kamatikuu Ya Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) Na mwenyekiti wa kanda ya Victoria, Mh Ezekiel Wenje akiwa Wasafi kwenye kile kipindi kinacho muogopa Tundu Lisu, akijalibu kuhadaa wananchi kua Chadema hawana pesa zakutosha kuendesha shughuli zao za kisiasa nchi nzima kutokana na ruzuku kua ndogo, hivyo Mboe inambidi atoe pesa zile ili mambo yaende sawia, hili laweza kua kweli? Nahapa mimi nina maswali je Mboe anapotoa pesa anakisaidia chama? Au anakikopesha chama? Na je anakikopesha kwa riba au? Ukweli mchungu nikua Chama kama Chadema hakiwezi kushindwa kujiongoza chenyewe kwakutegemea wanachama wake na watu mbalimbali wanaokipenda chama, kwa mfano pamekua na taalifa ambazo kwasasa ni rasmi kua chadema kina wanachama walio jisajili yapata laki tano. Hiki nikiasi kikubwa cha rasilimali watu hawa wakitoa wote kiwango cha chini cha mchango ambacho ni tsh 2500 inapatikana zaidi ya bilion 1.2 hiyo ni kwa wale wenye kadi tu. Ikumbukwe watu wanaojitoa kuchukua kadi za chama niwachache kutokana nakua watu wengi hawapendi kuonekana wako chama cha upinzani hapa Tanzania, Sasa changamoto kubwa ni watu kua na imani na viongozi, katika mazingila ambayo tuhuma za rushwa zinakua nyigi,matumizi ya pesa ya hovyo inakua inakatisha watu tamaa kuchangia pesa, Ndio maana ukizitafakali hakili za Wenje nikua Lissu Akiwa Mwenyekiti Chadema ukata wa Pesa utamfanya ashindwe kuongoza chama, jambo ambalo si kweli kwani kutokana na uadilifu wa Lissu utawasukuma watu wengi zaidi kuchangia chama, kwani watafikili kua zitatumika sahihi, ninahakika kua kama watu wakiwa naimani na uongozi, Chadema Inauwezo wakukusanya hata zaidi ya bilion mbili kwa mwaka kutoka kwa wanachama ukiacha hiyo milion mia na ushee ya ruzuku. Pesa ambayo inaweza kuendesha chama bila kutegemea pesa za mtu mmoja au watu wachache
Kumbuka wapo wengi wasiolipia, na ndio chanzo cha kukosa pesa za kujiendesha. Hivyo toa michango watu wafanye mikutano.Hua nina lipia ada ya kadi yangu kila mwaka kama ambavyo ntaendelea
Ndomana nimesema watu wengi hawalipi au kutoa michango kutokana nakutokua nauaminifu na viongozi wao na ndomana mabadiliko yanahitajika .Kumbuka wapo wengi wasiolipia, na ndio chanzo cha kukosa pesa za kujiendesha. Hivyo toa michango watu wafanye mikutano.
Akikujibu, NDIYO au HAPANA unataka umfanye nini kwani..?Wewe binafsi, kabla uzi haujaa wanga, umewahi kutoa mchango wowote chadema, au kulipia ada ya uanachama wako?
Hawachangii kwasababu hawana pesa, na kuona chama siyo kipaumbele chao. Siyo swala la uaminifu. Chama kina kaguliwa na CAG, umewahi kusikia wamepata hati CHAFU ya ukaguzi?Ndomana nimesema watu wengi hawalipi au kutoa michango kutokana nakutokua nauaminifu na viongozi wao na ndomana mabadiliko yanahitajika .
Hahah umepanic tu, au ushaanza yale mambo mapema hii.Akikujibu, NDIYO au HAPANA unataka umfanye nini kwani..?
Mbona mantiki ya swali lako ni kama umeshaandaa na kisu cha kumchinjia kabisa akikupa Jibu lolote...?
Maana yangu ni kuwa, your question is out of logic...!
Unapaswa kujadili hoja badala ya kuuliza swali la kijinga na la kitoto kama hili...
BACK TO THE TOPIC:
1. nitofautiane kidogo na mleta hoja kwenye eneo la "idadi ya wanachama". CHADEMA si kweli kuwa Ina wanachama registered 500,000 tu nchi nzima. Wanachama registered wa CHADEMA wako zaidi ya 5,000,000 nchi nzima. Sisi ndio watunza database ya chama...
2. Nakubaliana na mleta hoja kuwa, tatizo la CHADEMA sio fedha bali ni kukosekana trust & faith kwa uongozi ulio chini ya Freeman Mbowe (Mwenyekiti). Hoja za Wenje huko Wasafi TV ni dhaifu lakini za kujitetea na kujisafisha yeye na boss wake. Ndo kusema chama kinaweza kukiendesha kwa kutumia fedha za michango ya wanachama, wapenzi na mashabiki wa chama hiki muhimu kabisa. Kinachotakiwa ni kurejesha imani miongoni mwa makundi haya. Na hilo linawezekana si kwa njia nyingine bali kwa kusafish a uchafu uliopo chamani sasa. Na lazima usafi huu uanzie juu kisha turudi kwenye mifumo ya uendeshaji na usimamizi wa chama.
Kama idadi ni wanachama 5,000,000 basi hiki nichama kinacho weaza kujindesha vizuli kama kikipata uongozi unaoaminika kwa wanachama kwani endapo nusu ya wanachama watachangia kiwango cha chini cha kadi yani tsh 2500 kwa mwaka zitapatikana zaidi ya bilion 6.2 kwa mwaka kiasi ambacho nikikubwa sana.Akikujibu, NDIYO au HAPANA unataka umfanye nini kwani..?
Mbona mantiki ya swali lako ni kama umeshaandaa na kisu cha kumchinjia kabisa akikupa Jibu lolote...?
Maana yangu ni kuwa, your question is out of logic...!
Unapaswa kujadili hoja badala ya kuuliza swali la kijinga na la kitoto kama hili...
BACK TO THE TOPIC:
1. nitofautiane kidogo na mleta hoja kwenye eneo la "idadi ya wanachama". CHADEMA si kweli kuwa Ina wanachama registered 500,000 tu nchi nzima. Wanachama registered wa CHADEMA wako zaidi ya 5,000,000 nchi nzima. Sisi ndio watunza database ya chama...
2. Nakubaliana na mleta hoja kuwa, tatizo la CHADEMA sio fedha bali ni kukosekana trust & faith kwa uongozi ulio chini ya Freeman Mbowe (Mwenyekiti). Hoja za Wenje huko Wasafi TV ni dhaifu lakini za kujitetea na kujisafisha yeye na boss wake. Ndo kusema chama kinaweza kukiendesha kwa kutumia fedha za michango ya wanachama, wapenzi na mashabiki wa chama hiki muhimu kabisa. Kinachotakiwa ni kurejesha imani miongoni mwa makundi haya. Na hilo linawezekana si kwa njia nyingine bali kwa kusafish a uchafu uliopo chamani sasa. Na lazima usafi huu uanzie juu kisha turudi kwenye mifumo ya uendeshaji na usimamizi wa chama.
Hahah umepanic tu, au ushaanza yale mambo mapema hii.
Msingi wa swali, ni kwamba wengi wanolalamikia pesa, hata siyo wanachama, na wanachama wengi hawachangii au kulipia ada za uanachama wao, lakini ndio wapiga kelele wa kwanza.
Swali hili lilikuwa linaulizwa makusudi kabisa..Nakumbuka kuna kipindi makada mbali mbali wa CHADEMA walikuwa wanataabika wakiulizwa na Odemba kuwa Pesa za join the chain zilitumikaje ? 🐼
Hahaha unamatatizo wewe, wapi nimesema mwanchama ni mimi tu? Na wapi nimeongelea habari za Lisu na Mbowe? Nikujue ili iweje sasa?1. Sijapanic. Nilikuwa nakurudisha kwenye mjadala...
2. Kama sio wanachama wanaolalamika ni kina nani? Mawe au mbwa pori? Kwa uelewa na tafsiri yako wewe, mwanachama ni nani kwani? Tundu Lissu sio mwanachama? Heche Je? Mimi Je? Unanijua? Unawajua wanachama wote wa CHADEMA wewe?
3. Kura za mitandaoni zimepigwa kuhusisha watu zaidi ya 30,000. Karibu 95% zinamkataa Freeman Mbowe. Hao waliopiga kura hizo kwa ufahamu na akili zako unadhani ni viongozi wa CHADEMA tu? Hao kwa taarifa yako ndio wanachama, wapenzi na mashabiki wa CHADEMA ambao ndio wafadhili wa chama hiki. Kuwabeza na kuwapuuza kwa sababu tu ufahamu wenu umeshapofushwa na rushwa ya Abdul mtakuwa mnafanya kosa kubwa la kuiua CHADEMA...!!
4. Tusikubali CHADEMA ife kwa sababu ya mtu mmoja tu Freeman Mbowe na genge lake anayejiita "Tajiri na mfadhili wa chama" wakati ni mwizi tu kwa mlango wa nyuma....!!
Hii 👇👇ndiyo hoja yako uliyojibu..Hahaha unamatatizo wewe, wapi nimesema mwanchama ni mimi tu? Na wapi nimeongelea habari za Lisu na Mbowe? Nikujue ili iweje sasa?
Kama unataka tujadili hayo ya Mbowe na Lisu ungesema tangu mwanzo.
Wafuasi wa Lisu mnamatatizo sana, mnataka kila mtu afikiri kama nyie. Sipendi tabia zenu kuhukumu watu bila ushahidi, manajaza watu ujinga mkiulizwa ushahidi hamna.
Chadema haifi, ila mjifunze kuwa na staha muelewe nini kinazungumzwa wapi na nani?
Sasa huo wizi wa Mbowe mliisha mshitaki mahakamani?
Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti, haelewi wizi ni kosa? Mliisha mshitaki huyo Mbowe kwa wizi wa mali za chama?
Na kwanini hamjaleta internal na external auditor ili watuletee ukweli wa wizi huo?
Lini CAG report ilionyesha matatizo?
Wekeni financial statement tuone kaiba wapi kaiba lini, na kiasi gani?
Nyie mnampenda Lisu ndio chaguao lenu, acheni na wengine wawe na uhuru wa kuchagua. Mtizamo wako siyo wangu.
Hakuna tuhuma dhidi ya Mbowe mmewahi kuithibitisha popote. Hivyo yote mnayozusha ni uongo.
Lisu ni wakili, na ana mawakili wengi nyuma yake, wanaweza kujitolea kumfungulia Mbowe mashitaka, ya wizi na ubadhilifu wa mali za chama. Mmeamua kuyasema maovu yake hadharani, kwanini msiyapeleke mahakamani?
Lisu siyo Mungu, anamapungufu lukuki lakini mnayaona ni sifa kwasababu ya mapenzi mliyonayo kwake.
Kama chadema itakufa na ife tu, Lisu ana uwezo mzuri wa kuandika katiba ya chama bora duniani, atafanya hivyo na atasajiri chama kipya na wafuasi tayari anao, tatizo liko wapi?