Ezekiel Maige kama mbunge leo bungeni

Ezekiel Maige kama mbunge leo bungeni

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
4,835
Reaction score
4,240
Yule bwana Maige ambaye alifikiri amezaliwa kuwa Waziri, leo ameuliza swali Bungeni kama Mbunge wa kawaida, kweli maisha hayana formula, poor of you Maige
 
Kaingia bingeni leo? maana since 12th bunge la bajeti lianze alikuwa anakwepa kuonekana kama mbunge asiye waziri
 
ndo wawe wanajua cheo ni dhamana..sasa na yeye aanze kuona adha ya jinsi wanavyowadanganyaga wabunge kama watoto..halafu sijui atakua anaunga hoja mkono!!
 
Ataunga hoja kama ilivyo kawaida ya wabunge..
 
Back
Top Bottom