Samahani ni Logaloga au Roga Roga ( Ibambi Ikombi La Liberateur ) ? Ukizitaka Album Zote za Hao Jamaa Nenda Pale Afrika Sana ambapo Baadhi Ya Dada Zetu Wavivu na Wasiotaka Kujituma Wanauza PAPUCHA Zao Utaliona Duka Kubwa La Muziki na Utawakuta Mule Vijana Wawili na Binti Mmoja hivi na Utapata Ukitakacho. Ni Wastaarabu na Wakarimu Mno!
daa! mkuu umenichekesha sana. vp wanauza kanda za aina zote za muziki? me natafuta album ya reggae "remember bob marley proverbial reggae" pia album ya soukouss vibration yenye picha hii