Ninaexternal hard disk ya GB 500 nikiiconnect na computer inawaka taa then inazima afu haiconnect tena kama kuna mtu alowahi kuexperience shida hii please nisaidie solution! Na kama imekufa is there any means to recover my data?
ijaribu kuichomeka kwenye PC nyingine tofauti na hiyo uliyotumia.
chomeka, kasha iwashe PC. angalia kama tatizo litajirudia au la.
Mkuu nimejaribu kuconnect kwenye pc ingine na kwenye mac na pia nimebadili kichwa cha kuconnect cha external nyingine inayofanya kazi bado tatizo lipo vile viile
Ikichomekwa ina washa taa ya kuonyesha imeconnect than taa inazima na haiwidetected na computer ila inasskika kama inafanya kazi!(1) ukiichomeka PC inasoma (japo huwezi kuona content?
(2) kama inasoma, je kuna data za muhimu humo? Namaanisha; kama inasoma ila ni taa tu haiwaki na hauwezi kufungua mafaili yake ni heri uifomati.
Ikichomekwa ina washa taa ya kuonyesha imeconnect than taa inazima na haiwidetected na computer ila inasskika kama inafanya kazi!
Ikichomekwa ina washa taa ya kuonyesha imeconnect than taa inazima na haiwidetected na computer ila inasskika kama inafanya kazi!