Pia jitahidi unavyoweka vitu ndani ya hiyo external uwe unavipanga vizuri kwa maana ya kuweka vitu vinavyohusiana kwenye folder moja sio unatupia tu unakuta folder mara lina video mara lina softwares humohumo kuna documents nyinngine zipo huku nyinngine kule.. Hiyo inapunguza ufanisi wa hdd pia..