external hard drive case Inahitajika

Mzee wa Wima

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2016
Posts
537
Reaction score
296
Habari wadau, Natumai jumapili imeisha salama, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kwa yeyeyote ambayo anauza au anafahamu naweza kupata wapi Case kwa hd hii anaweza nijuza, mana nimejitahidi kutafuta maeneo ya kkoo bila mafanikio, aliyekuwa nayo na tayari anataka kufanya biashara anitumie PM. Nawasilisha.
 

Attachments

  • SATA .jpg
    167.8 KB · Views: 55
Agiza kikuu
 
Reactions: Cyb
Nashukuru sana kwa Ushauri wako Mkuu nitafanya hivyo.Ina maana kwa Mtumba siwezi pata?
 
Mkuu shida ni data zilizomo humo kuzipata au shida ni kutumia EXTNAL tu

nakupa option 2
ya kwanza njoo nikuuzie CASE hiyo kwa elf 45 lkn inatumia adptore yaan lazima uipe umeme wa peke yake

ya piri njoo nikuuzie EXTNAL ya gb 160 kwa tshs elf 30 inatumia USB power sabubu ni ya HDD ndogo ya laptop kisha km zipo data zako humo kwenye hiyo harddisk yako nitakuhanishia zote humo kwenye hiyo extnal nitakayokuuzia

0777039477
 
Mkuu n
Ashukuru Sana, ishu ilikuwa ni Data zangu muhimu, nimepata Kuna mdau hapa JF kanipatia,nimefanikiea ila ntakucheck kwa hii external ya gb 160.
 
Mkuu n

Ashukuru Sana, ishu ilikuwa ni Data zangu muhimu, nimepata Kuna mdau hapa JF kanipatia,nimefanikiea ila ntakucheck kwa hii external ya gb 160.
Pamoja mkuu mana niliwaza pengine hiyo HDD ilikufa kwenye PC ya iMAC na kuna data zako ndo mana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…