External Hard Disk haisomi naomba msaada

External Hard Disk haisomi naomba msaada

chichiboy1

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
1,396
Reaction score
1,887
Habari wakuu,

Nina external hard disk aina ya trascend 3TB ambayo imedondoka na kupasuka cover ya nje ambapo hata hivyo baada ya kudondoka imeendelea kusoma lakini baada ya muda imegoma haisomi kwenye devices ninazotumia japo inawaka taa inayoonyesha kuwa inapokea moto.

Naomba kujua kama inaweza kurekebishika na kuendelea kufanya kazi au la kuweza kuhamisha data kwenda hard disk nyingine.
 
Habari wakuu,
Nina external hard disk aina ya trascend 3TB ambayo imedondoka na kupasuka cover ya nje ambapo hata hivyo baada ya kudondoka imeendelea kusoma lakini baada ya muda imegoma haisomi kwenye devices ninazotumia japo inawaka taa inayoonyesha kuwa inapokea moto..Naomba kujua kama inaweza kurekebishika na kuendelea kufanya kazi au la kuweza kuhamisha data kwenda hard disk nyingine.
Badilisha Cover

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi wakuu.
Hard disk mbili zote na kuna data za muhimu nilizosota usiku na mchana kuzikusanya.

Mwenye connection na mafundi wa recovery aweke.
 
Back
Top Bottom