External hard disc drive for sell

External hard disc drive for sell

RORYAKWETU

Member
Joined
Nov 18, 2011
Posts
83
Reaction score
13
Ni Toshiba 5oogb.tsh 120,000 inapungua kidogo. kama unahitaji ni pm .Imesahihishwa
 
Nikupe 9000?haina matatizo?ni pm kwa mapatano kama inawezekana.
 
Ni Toshiba 5oogb.tsh 12000 inapungua kidogo. kama unahitaji ni pm

Loooo !! Hizi biashara za bongo, bei yako ni 12,000/=

Tizo1 anazo 9,000/=

Unataka aongeze 20,000/= achukue mzingo. Kwa hiyo bei yako ni 29,000/= na siyo 12,000/=?
 
Loooo !! Hizi biashara za bongo, bei yako ni 12,000/=

Tizo1 anazo 9,000/=

Unataka aongeze 20,000/= achukue mzingo. Kwa hiyo bei yako ni 29,000/= na siyo 12,000/=?

Ndio umuhimu wa kuweka koma katikati ya digits tatu, inaepusha kusahau iwapo namba ina zero nyingi. Kama ni biashara ya mamilioni na inafanyika online errors kama hizo zinaweza kuleta maumivu.
 
hii thread yanipa kizungu zungu tu,muwekage mawasiliano basi watu wapunguze kurefusha thread
 
wabongo kwa majungu bwana, hakuna binadamu aliyekamilika 100%. sawa tufanye biashara sasa
 
Back
Top Bottom