Jamani nimemmisi ex's wangu najaribu kumsahau ila haipiti week bila kuchungulia kwenye Account yake ya Instagram amepost nini, kila siku anazidi kupendeza kama vile nilikuwa namtesa, najaribu kuingia kwenye mahusiano mapya ila bado hisia za mapenzi nazifutia kwake.... Nifanyeje asee nisahau