ex's geting married the same day!!waliachana less than a year

ex's geting married the same day!!waliachana less than a year

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
772
ninawajua wote ni wapenzi tangu 2007 huko...

juzi all of a sudden jamaa ananitumia message kwamba anaoa...sikutaka kujua anamuoa nani maana mhusika namjua...good enough yule mtu wake sasa nae akanitumia message ya kuomba mchango wa sendoff...nikampa mahongera meeeengi shemej na kuwatakia kila la heri..lahaula!!

kuja kuujua ukweli kumbe kila mmoja anaoa na kuolewa na mwingine the same month.......!!waliachana hawana hata mwaka!!

haya mapenz ndo yamekua ya kuviziana namna hii jamani?
 
hao wanakomeshana tu ila life will determine there credibility huko wanakokimbilia
 
Cjaelewa vizuri yan walikuw wapenz wakaachana afu muda mfupi kila mtu kaolewa na kuoa na mwingine ee?
 
Mmoja atakua kaolewa kwa matakwa yake ila mwingine hapo either anajibu mashambulizi au anapooza maumivu
 
ninawajua wote ni wapenzi tangu 2007 huko...

juzi all of a sudden jamaa ananitumia message kwamba anaoa...sikutaka kujua anamuoa nani maana mhusika namjua...good enough yule mtu wake sasa nae akanitumia message ya kuomba mchango wa sendoff...nikampa mahongera meeeengi shemej na kuwatakia kila la heri..lahaula!!

kuja kuujua ukweli kumbe kila mmoja anaoa na kuolewa na mwingine the same month.......!!waliachana hawana hata mwaka!!

haya mapenz ndo yamekua ya kuviziana namna hii jamani?

Hahahahahahahaaaaa....... Umenifanya nicheke sana jamani kama mazuri, lakini huo ndiyo uhalisia wa mapenz kwa sasa, ni mapenzi ambayo wahusika wanakuwa hawana determination, sitashangaa siku ukitaka ushauri juu ya huyo jamaa yako au huyo shemej yako wa zamani kwamba ndoa imemshinda..... kw style hiii mbona twafwaa...
 
Kuna mshikaji alipigwa chini na mchuchu wakati tunaendelea na vikao. So sie tukaacha vikao. Bi harusi alifanya sendoff na akaolewa na mwanaume mwingine kwenye siku iliyokuwa imepangwa. Sina hakika kama mshkaji alirudishiwa change ya mahari
 
Nzuri tu maana hata waliokaa ychumba miaka 8 sikuhizi bado kwenye ndoa migogoro haiishi. kikubwa kilammoja awe ameridhika na maamuzi yake
 
Nzuri tu maana hata waliokaa ychumba miaka 8 sikuhizi bado kwenye ndoa migogoro haiishi. kikubwa kilammoja awe ameridhika na maamuzi yake

umeongea jambo la maana kabisa Da pretty
mimi pia sioni tatizo kama swala hapa ni muda as long as wanajua wanachofanya na wameridhia.
Wapo wengi tu wanapotezeana muda for many years and at the end nothing happens.,uchumba sugu these days mwingi.
mi nawaombea wafanikiwe kwa ndoa zao.
 
Hao huenda walikua na hao wapenzi wao kwa muda mrefu. Inawezekana wakati wapo wote kila mmoja alikua na spea yake mafichoni na yawezekana walikua hawaaminiani pia. Mungu awasaidie ktk hizo ndoa wanazotarajia kufunga zidumu na wawe waamnifu wasirudiane ie wasicheat wakiwa ndani ya ndoa zao.
 
Back
Top Bottom