Experience: Wanawake WASIO na uvungu mguuni

Dah! Pole sana mkuu, uyo ni pacha wake mamaJ
 
Jeshini wakivurugwa hawachelewi kupiga KOMBORA magogoni
 
Ndio maana nimewaambia ni vigumu sana kupata tume huru ya uchaguzi
 
Kwenye roho mbaya ni kweli kabisa, unashangaa anamchukia Mtoto mdg Hata hajafanya kosa lolote,Kisirani tu
 
Hii inaweza ikawa kweli, kuna jirani yangu hapa demu ana miguu flat + umbo zuri ila kutwa wanagombana na jamaa ake, juzi kati hapa naona jamaa amebeba godoro na baadhi ya vitu kwenye bodaboda mbili 😂 akasepa then demu simuoni nna wiki sasa nahisi wamegawana mali zao 😂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…