Experience: Wanawake WASIO na uvungu mguuni

SABABU YA JESHINI NI MOJA TU, MIGUU YAO INAWEZA KUOZA, KWA SABABU UNAWEZA KUVAA VIATU MIEZI MITATU BILA KUVUA, SASA HAWA FLATERS HAWANA NAFASI YA HEWA
We ndo bure kabisa, kwahiyo uvungu unaruhusu hewa kuingia kwenye kiatu🤣
Hoja hapo ni Mishipa ya damu iiyopo chini ya mguu, kwa watu wasio na uvungu hii mishipa inakandaizwa na sakafu/soli hivyo ni rahisi kua damaged kitu kitakachoathiri mzunguko wa damu kuanzia miguuni kupanda juu mapka kwa ubongo ikiwa atasimama au kukimbia kwa muda mrefu.
 
kwa kumaliza viatu hao ni balaa....😅halafu wanapiga sana mieleka wakiwa wanapiga deki kwene sakafu!🙌 waeza mkuta kapasua kichwa kwenye sakafu....swala la kuwa na mkosi siamini, ila swala la roho mbaya mbaya naamini😎
NB:NASIKIA HATA JESHINI HAWAWAKUBALI😜
nimesema nasikia😎
 
Sasa mzee DeepPond leo utasababisha kina mama waka kaguliwe uvungu tena huko, tuonekane washirikina.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…