Ombi langu kwa mood kwanza Tafadhali usiunganishe uzi huu pia usi edit tittle yangu plz
Wakuu mbele yenu tena kuomba anaejua hatua za kufuata kwa wale ambao tunampango wa kustisha masomo 2016/17 degree program hapo inakuwaje naombeni msaada wenu mi ninataka kustisha mwaka wa masomo kwa sababu zifuatazo÷
01.nimepangiwa coz ya BA in kiswahili literature udom ile hali wadau wameniambia coz hii sio nzur kwan ajira zake znasumbua na ukilinganisha mimi ni mtoto wa poor peasant ninaetegemea nije niajiliwe ili nikaikomboe familia yangu!
02.sijapata mkopo 1st batch na was was wangu mkubwa ninaweza nikakosa pia 2nd batch kwan coz yangu sio ya kipaumbele!
03. Uwezo wa kujilipia ada kama nikikosa mkopo ni changamoto kubwa sana kwangu.
Hitimisho langu ni ushauri na ninataka kujua ni madhara gani yanaweza kutokea ikiwa mtu amesitsha mwaka wa masomo kwa mwaka husika? Na ni procedure zipi inatakiwa uzifuate ili uweze kustisha mwaka wa masomo???