Expatriate fingers

kula kwa mkono ni uchafu mkuu mikono hiyo ufanya mengi
 
Hahahahahaa kula kwa mkono uchafu huyu mtanzania wa wapi huyu hivi mkono unakuaje mchafu baada ya kuusafisha mm tokea nipo dogo nakula kwa mkono na mpaka Leo sijawah umwa n tumbo kis nimekula kwa mkono.
 
Kula mikono safi inapendeza, kuliko kutumia vijiko, uma tena ukiwa hotelini huna uhakika na usafi uliofanywa kwenye hivyo vifaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…