Expansion of Manyara NP, Who is the true beneficiary? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Expansion of Manyara NP, Who is the true beneficiary?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rev. Kishoka, Dec 4, 2009.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Mradi wa Magadi kule Natron umepewa kipaumbele na mbuga yenye Flamingo imepuuzwa, leo hii eti wanaondoa vijiji na wachimba madini ili kupanua mbuga ya Manyara!

  Je aliyekuja na wazo hili la kimapinduzi ni nani?

  Ni Mdogo wake Grumeti au Shemeji yake Prince Loliondo?

   
 2. R

  Ronaldinho Member

  #2
  Dec 4, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina hamu ya kujua nini kitatokea mwakani kwenye uchaguzi wa wabunge raisi is obvious.
   
Loading...