TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
PLOT
Movie inaanza Dominic Torreto(Vin Diesel) na dame wake, Letty(Michelle Rodriguez) wako somewhere kwenye nyumba yao ya ufukweni, Letty ni mjamzito, so wanajadili kuishi responsibly, majina ya mtoto na vitu kama hivyo.
Simu ya Dom inaita, namba haijui. Ni Owen Shaw(Luke Evans) upande wa pili, ali-recover fully na anamwambia Dom aangalie simu yake kuna video anamtumia, Dom kucheki ni Mia(Jordana Brewster) ambaye kafungwa kwenye kiti na mwanae pembeni, anamwambia wametekwa yeye, mtoto pamoja na Brian(Supposedly Paul Walker). Bryan anaonyeshwa kwenye chumba kingine ila kafunikwa uso. Kurudi kwenye simu, Dom inabidi awe mpole akubali kumskiliza Shaw anayetaka wakutane wajadili terms and conditions za kuwapata Bryan na familia yake wakiwa wazima.
Dom anakutana na Shaw anaye-demand Dom na team yake waunganishe nguvu na team ya Shaw wamtoe Deckard Shaw(Jason Statham) anayeshikiliwa chini ya ulinzi mkali sana, hiyo ndio namna pekee atawapata Bryan na familia yake. Dom anawasiliana na Hobbs(Dwayne The Rock Johnson), ambaye anajaribu kuongea na wakubwa wake ili kujua kama wanaweza kumuachia Deckard, Ila serikali wanazingua, kwamba hawa-negotiate na wahalifu/magaidi, the usual cliché.
Dom hana jinsi zaidi ya kukusanya team yake, kina Roman(Tyrese), Tej(Luda), Inapigwa mission impossible hapo na stunts za hatari kama kawa, Plan A mpaka Z applied.
Wanafanikiwa kumtorosha Deckard, na wanamfikisha walipokubaliana na Owen. Slight changes kwenye exchange, jamaa wanamtoa Mia na mtoto tu, Bryan wanasema watamuachia wakifika salama huko wanapokwenda, hiyo ni security yao ili kuwa na uhakika Dom na team yake hawana other ideas.
Baada ya muda, Dom na team yake wanapokea skype call kutoka kwa Owen na Deckard, ambapo Owen anawaambia kwamba hawakumkamata Bryan, instead wakati anajaribu kuiokoa familia yake walifanikiwa kumuua kwenye gari yake, kwa namna moja au nyingine team ya Shaw walirekodi tukio nzima na wanawaonyesha kina Dom video (Hapa ndio mwisho wa character ya Paul Walker, Bryan)
Baada ya kwenda eneo la tukio alipofia Bryan, kuhakikisha na kutoa heshima zao, Dom na team wanaamua sasa ni all out kwenda kulipa kisasi kwa kina Shaw. Wale madogo wa Tokyo Drift(Lucas Black na Shad Moss) nao wana-join kwenda kulipa kifo cha Han(Sung Kang). Hobbs nae ana-join na team yake since yeye nae alikuwa kama part of the family, + he feels he owes them, na ana un-finished business na Deckard. Hapo unapigwa mkono wa hatari, na Shaw na team yake wanauwawa eventually.
After few weeks, anaonyeshwa, Hobbs akiwa mbele ya senate kujibu tuhuma za kuunganisha nguvu na wahalifu, kina Dom ambao wana makosa kibao ikiwemo kumtorosha mhalifu mkubwa kutoka kwenye mikono ya serikali, badala ya kuwakamata. Mwisho wa siku anaepuka adhabu kutokana na muda na rekodi yake katika kazi, na anaacha kazi kuendelea na mishe zake.
Mia na mwanae wanaendelea fresh na maisha. Roman na Tej wana-run business pamoja, ikiwemo Casino walioipa jina la OConner kwa heshima ya Bryan. Madogo wa Tokyo Drift wamefungua workshop yao na kuendelea na racing kama kawa.
Mwishoni camera ina-focus kwa Dom behind the wheel, design kama anatarajia Bryan atokee wamalizie na race kama kawa, ila wapi. Camera iki-zoom tunaonyeshwa Lety na mtoto kwenye passenger seat.
Mwisho.
We ndio mtu wa kwanza na-share nae hii kitu, sahihisha mapungufu yaliyopo ikae sawa tuwacheki Universal fasta (kuiba ni dhambi). Hii inabidi ndio iwe ya mwisho kabisa, kwa sababu washaanza kutubeba kimandazi mandazi. Justin Lin kama vipi ndio angesimamia hii show ya mwisho, James Wan akae pembeni ajifunze.