Exim bank na makato ya emv credit card

Exim bank na makato ya emv credit card

markj

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Posts
1,778
Reaction score
685
Kwa anaefahamu hii huduma ya atm cards mpya kutoka exim bank naomba atujuze, mana wamekata elfu ishirini yangu wanadai ndo kwa ajili ya card mpya ya atm ni kiasi kikubwa sana hii wandugu,kama atm elfu 20 je kufungua account au service zenginge si balaa siku za usoni
 
Back
Top Bottom