Kwani lazima kila kitu uchangie? sometimes silence is the best tool
Kumbe bomu lililipuliwa ili msafara wa chadema usifanikiwe .. Angalia lema anamaliza kwamaba watakuwa wanaenda tanapa sakina shamsi hilo ndo lilisababisha .... Kupiga bomu kunyima msafara huoo
that true fact[/QUOTE]
Lema atausababishia madhara makubwa sana mji wa Arusha........
Video ya Lwakatare mnaikataa hii Mbowe mnaikubali mnawachanganya Watanzania.
Baada ya mlipuko kutokea hakuna polisi anayeonekana kwenye video.
Walikuwa wapi? Walisepa? Kama walisepa ni nani alikuwa anapiga hizo risasi?
Hata aliyekuwa anaomba msaada kwa mic, hakuomba kutoka kwa wanausalama bali kwa "makamanda".
Kwa tukio kama hili nilidhani polisi wangekuwa mstari wa mbele kuokoa na kuwapa watu directions.
Police are part and parcel of any emergecy service. But they were no where to be seen zaidi ya kudaiwa kupiga risasi.
Ni haki umma kujua hizo risasi zilikuwa na nini. Pia walikuwa wanapiga risasi za kujilinda (self-defence) baada ya kuvamiwa?
Dah, bahati mbaya na hii haionyeshi aliyerusha bomu. Lakini angalau inatoa ushahidi kwamba si kweli kwamba mwenyekiti aliondoka eneo la tukio kwa makusudi kama alivyosema Mwigulu, bali alikuwa anachangisha hela kutoka kwa wanachama. Na pia inaonyesha kwamba milio ya risasi ilifuata immediately baada ya bomu kulipuka na si kweli kwamba polisi walipiga risasi baada ya wananchi kuwafukuzia na kuwapiga kama ambavyo wamejitetea. Ni dhahiri kwamba madhara yalipagwa yawe makubwa kuliko haya. Na uamuzi wao wa kupiga risasi tank la mafuta la gari la matangazo ni dhahiri walitaka kutengeneza mlipuko mbaya ambao ungekuwa na maangamizi ya kihistoria. Tunamshukuru Mungu alizuia tank la mafuta lisilipuke.
Inahuzunisha sana, kutazama hii video.
Video ya Lwakatare mnaikataa hii Mbowe mnaikubali mnawachanganya Watanzania.
Hahaha .. hii ni uhakika kabisa kuwa chadema imetoa wafuasi wake kafara. Hii dxhambi haitawaacha.
Nimewahi kuambiwa kwamba ili kuepuka polisi kuhusishwa na vurugu za kwenye vyama sasa wanakaa mbali kabisaBaada ya mlipuko kutokea hakuna polisi anayeonekana kwenye video.
Walikuwa wapi? Walisepa? Kama walisepa ni nani alikuwa anapiga hizo risasi?
Hata aliyekuwa anaomba msaada kwa mic, hakuomba kutoka kwa wanausalama bali kwa "makamanda".
Kwa tukio kama hili nilidhani polisi wangekuwa mstari wa mbele kuokoa na kuwapa watu directions.
Police are part and parcel of any emergecy service. But they were no where to be seen zaidi ya kudaiwa kupiga risasi.
Ni haki umma kujua hizo risasi zilikuwa na nini. Pia walikuwa wanapiga risasi za kujilinda (self-defence) baada ya kuvamiwa?
Lema atausababishia madhara makubwa sana mji wa Arusha........
Wakuu.
Nimekutana na hii video nyingine ya mlipuko wa bomu la Arusha.
Bofya hapo chini
EXCLUSIVE VIDEO YA MKUTANO WA CDM ULIOSHAMBULIWA SOWETO ARUSHA - YouTube
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums.
unawadhalilisha wazazi wako mkuu sababu wanaamin wana mtoto mwenye akili timamu sasa mbona unaonekana unawaza kama mtoto anae lilia chuchu????una mdhalilisha zaid maako alie kupa virutubisho vyote lakini bado huna akili au ni usahabiki tu unaokuendeshaa???unajilemaza kifikra we endelea kuigiza huna akili sababu ya posho za nape utakuwa ivoivo milele shauri yako!!!!Hahaha .. hii ni uhakika kabisa kuwa chadema imetoa wafuasi wake kafara. Hii dxhambi haitawaacha.