yap nimekuwa kwenye mahusiano na naelewa sana ukizungumzia past relationship kwangu sijutii sana kuwa na ile past relation kwa sababu kwa wakati ule nilikuwa nampenda bt pengine haikuwa riski yangu so hainisumbui sana kwenye relation ship mpya.

Mhh serious relation nilianza nikiwa nna miaka 18 nilikuwa kidato cha tatu...
Ilidumu kwa miaka kama miwili na nusu hivi mpaka kipindi naingia A-level ni ndani ya kidato cha tano relation hiyo ilivunjika baada ya kupoteza mawasiliano

nimeenda mbio ee nilianza form 3 bt kwakuwa mama yangu tulikuwa tunamuita kamanda yaani alikuwa mkali kupita kiasi so niliogopa ngono kama jehanam hata kunikiss sikumruhusu aliheshim hilo
Hahahaa
Typing error nlimaanisha kusema seriously........
Hata hivyo kabla ya hiyo nliwahi kuwa na relation kabla ya hapo ambazo hata jamaa alikuwa akijaribu kunikiss nampiga kibuti...
Hii nilikuwa serious nayo zaid na akili ilikuwa imekomaa kiasi fulani