Excellent Again


unajua nini kilifuatia?muda wa msosi ulipofika watu walijikata makundi kuunda mduara kwaajili ya menyu kundi moja alikuwepo mzee mmoja aliachachia ushuzi uliyo wafanya watu kuguna. Jamaa mmoja aliskika akisema:aaah mtu gani tena huyo anabeep kwa line yake ya tigo huku tunakula? Mzee akadikia. Mnashanga haka ka ushuzi kadogo hivi.niliwahi kuachia ushuzi kule iringa kwenye msiba kama huu watu walizimia wengine waliacha na kula nashangaa nyinyi mnaguna tu huku mnaendelea kula.
 
sauti ilisikika kichakan ikiomba msaada''nisaidien nakufaa''gafla lilitokea bonge ya baunsa kichakan huku likihema na boxa mkonon likasema''dah japo wamenigonga lakin kwa mbinde.
Hahahah...lol!
U have made ma day
 
Thanx mkuu! Ila nna ushauri mmoja.... kwamba uwe walau unapost chache kama mbili tatu hivi kwa siku sio mbaya, au unaonaje maana tunaweza kukeshea kucheka tukashindwa kwenda majukwaa mengine. Na hawa mods wanavyochanganya posts....ya mapenzi waikuta kwa politics so ukisema uweke kiporo unaweza ukaitafutaaaa weeeee ukaishia kukata tamaa! Ushauri tu lakini.
 
poa mkuu nitafanya hvo
 
Salute kwako Excellent.....Napendekeze hili jukwaa ubinafsishiwe 75%......Wengine tuachiwe hiyo 25%.....Doh we ni balaaa..
 
hahahaha...hii imekaa vizuri...jamaa alifikiri alichokuwa anawazia kimetimia..anaenda sasa kuyashika rasmi lile **** alilokuwa anamezea mate...

 
mkuu...wewe ni mkareeee
 

E bhana! Hahahahaaaaaaa... Kumbe bibi alikuwa na hamu...
 
Mkuu umetisha..yaan hili jukwaa ungebinafshiwa mzazi..you are at the top!!!
 
Haaaaa haaaaa haaaaaa!du bibi anataka........!
 
Mmmh!bora wangemuacha tu ajililie zake kimya kimya,ona sasa anavyolia haaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…