Excellent Again

Excellent you are wonderful, tuhurumie kidogo nimecheka mpaka nimepaliwa kuhusu huyo bibi na wale abiria wa seat ya nyuma
 

Hahahahaaaa, Bibi aliona akizubaa anaweza asipewe adhabu wakati ni haki yake.......
 
Hahahahaaaa, Bibi aliona akizubaa anaweza asipewe adhabu wakati ni haki yake.......
Si unajua bibi inawezekana hakufanyiwa mda mrefu
 
u r so xcellent,hiyo ya bibi na abiria wa nyuma duhh mkuu eeh eeh kwiki kwikiwki...
 
Haya mameseji yamejaa kwenye simu yangu. Ngoja niyadiliti kwa kuwa nikitaka kuyasoma nitakuja kuyasomea hapa
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 

Hii imenichekesha sana, bibi nae anataka mshipi duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…