Habari wanajamvi, msaada wa sorting function wa kuchakata matokeo…Sorting function ambayo itachagua jinsia na rank yake katika matokeo..Msaada tafadhali….Iweze kufanya kazi kwenye Ms Excel 2007 au 2010
Kama data zako umezipanga vizuri kwenye table tumia tu filter na sort options, zipo hapo kwenye tools ribbon otherwize kama unahitaji kutumia functions basi tumia nested if au vlookup