Niko nyanchabhakhenye(Tarime vijijini ndani kabisa) so itakuwa ngumu kuja kusoma kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Nahitaji msaada nduguAsante sana ndugu "OG12", tunataman sana kukusaidia. Lakini tungekushauri uje kusoma ili upate ujuzi zaidi na uelewa mkubwa wa yale yaliyomo kwenye kitabu chetu pendwa. Itakusaidia sana kwenye nyanja nzima ya ICT.
Karibu sana,
Tupigie: 0717 71 85 19 | 0762 192 532
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Tutembelee: Ofisi zipo Makumbusho Bus stand, gorofa ya pili.
Muda wa ofisi: saa 12 asubuhi mpaka saa nne usiku siku zote.
Asante sana ndugu "OG12" nimelichukua nitalifikisha kwa wahusika wakuu kulitoa mwongozo zaidi. Tutawasiliana nawe wiki kesho kwa DM.Niko nyanchabhakhenye(Tarime vijijini ndani kabisa) so itakuwa ngumu kuja kusoma kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Nahitaji msaada ndugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you in advanceAsante sana ndugu "OG12" nimelichukua nitalifikisha kwa wahusika wakuu kulitoa mwongozo zaidi. Tutawasiliana nawe wiki kesho kwa DM.
Asante sana na karibu sana ComSkills,
"Ukaongeze ujuzi, ukalete ufanisi kazini"
Tupigie: 0717 71 8519 | 0762 192 532
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Any update mkuu naona umekuwa kimya sanaAsante sana ndugu "OG12" nimelichukua nitalifikisha kwa wahusika wakuu kulitoa mwongozo zaidi. Tutawasiliana nawe wiki kesho kwa DM.
Asante sana na karibu sana ComSkills,
"Ukaongeze ujuzi, ukalete ufanisi kazini"
Tupigie: 0717 71 8519 | 0762 192 532
Tuandikie: training@comskills.co.tz
Gharama za CCNA ziko vipi na inajumlisha gharama ya mitihani toka Cisco?Kozi mpya za ORACLE 12c & CCNA zitaanza mwezi wa saba..maelezo zaidi yatawajia iv punde.
Tupigie: 0717 71 85 19 | 022 270 1320
tuandikie: training@comskills.co.tz
Hiyo hatutoi, bali tunafundishaPrimavera mnafundisha?
Asante sana ndugu "Kivule", Mafunzo ya CCNA gharama zake ni;Gharama za CCNA ziko vipi na inajumlisha gharama ya mitihani toka Cisco?