L Lwamadovela JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 324 Reaction score 235 Dec 27, 2020 #21 mlima wa mizeituni said: Ni chuo gani na kinatoa kozi zipi? Click to expand... Kipo dar kijito nyama.IHET>instute of heavy equipment training.magereda yote unayoyajua wanafundishwa hapo mkuu.mfano mafunzo ya kuopareti excavator ni kwa muda wa miezi 2.ada ni 840000.hostel 170000.japo south Africa wanasoma siku 7.
mlima wa mizeituni said: Ni chuo gani na kinatoa kozi zipi? Click to expand... Kipo dar kijito nyama.IHET>instute of heavy equipment training.magereda yote unayoyajua wanafundishwa hapo mkuu.mfano mafunzo ya kuopareti excavator ni kwa muda wa miezi 2.ada ni 840000.hostel 170000.japo south Africa wanasoma siku 7.