Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,456
- 1,009
mkuu kwanza asante kwa nafasi za kazi ila nakushauri kama ifuatavyo;
1.wengi wa madereva wazuri wa kazi ulizotangaza hawana vyeti na elimu yao ni ya chini sana kama darasa la saba au
kidato cha nne aliefeli.
2.wengi wao hawatumii mitandao kama jamii forum.
3.nakushauri ondoa kigezo cha vyeti ili upate maoperator wazuri na waliobobea mimi mwenyewe kuna vijana kama wawili
nawajua wanatisha kwenye kazi hiyo ningeweza kukuunganisha nao naishia hapa.
yaaani akiondoa kigezo cha vyeti nampa watatu fasta.wapo wengi sana huku migodini laking vyeti ndio ishu.
huko migodini waliingia bila vyeti?
mbona hiyo email vijana wanasema sio valid email address. mkuu Heavy Equipment
mbona hiyo email vijana wanasema sio valid email address. mkuu Heavy Equipment
Nakumbuka Deci, Watanzania mtaliwa na wajanja baadaye mseme serikali iwalipeni
mkuu migodini hawajali vyeti kwa mine boys,so long as unaweza kusoma na kuandika wanakuchukua na kuku train,kuna kitu kinaitwa (OJT) on job training?. Hapo wanakutrain mpaka unakuwa international miner.mambo ya vyeti peleka huko admin sio kwenye operations.bongo hatuna chuo cha heavy equipment trainings,wapi wanafundisha jumbo operation,au longhole drillers mkuu.
mbona hiyo email vijana wanasema sio valid email address. mkuu Heavy Equipment
Chuo kipo mkuu.mkuu migodini hawajali vyeti kwa mine boys,so long as unaweza kusoma na kuandika wanakuchukua na kuku train,kuna kitu kinaitwa (OJT) on job training?. Hapo wanakutrain mpaka unakuwa international miner.mambo ya vyeti peleka huko admin sio kwenye operations.bongo hatuna chuo cha heavy equipment trainings,wapi wanafundisha jumbo operation,au longhole drillers mkuu.
Ni chuo gani na kinatoa kozi zipi?Chuo kipo mkuu.
VetaNi chuo gani na kinatoa kozi zipi?