Mathmention
Member
- Aug 23, 2018
- 27
- 5
Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia NECTA examiners report A level (especially kwa BIOLOGY,CHEMISTRY,GEOGRAPHY) . Kuna wakati nilipata kama za miaka miwili kwenye mtandao, bahati mbaya flash disk yangu ilicrash nikapoteza kila kitu. Sasa najaribu kuzitafuta mtandaoni nashindwa kabisa sijui nakosea wapi. Kama kuna mwenye uelewa zaidi anaweza kunisaidia online source. KAma kuna mtu anazo naomba anisaidie, unaweza kunipm ili nikupe namna rahisi ya mimi kuzipata. Nahitaji at least ya miaka kumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app