U udhudhun New Member Joined Sep 16, 2020 Posts 1 Reaction score 1 Jul 4, 2022 #1 Mwenye Uzoefu wa maswali ya written kada ya examination officer msaada please.
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,883 Reaction score 25,870 Jul 4, 2022 #2 Mmeitwa?
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,256 Reaction score 29,876 Jul 4, 2022 #3 kyagata said: Mmeitwa? Click to expand... Wameitwa mkuu
D Dajaden112 New Member Joined Mar 25, 2021 Posts 4 Reaction score 0 Jul 4, 2022 #4 Kama kuna aliwahi kufanya written interview utumishi kada ya ENVIRONMENTAL OFFICER naomba TUBADILISHANE uzoefu wa maswali.
Kama kuna aliwahi kufanya written interview utumishi kada ya ENVIRONMENTAL OFFICER naomba TUBADILISHANE uzoefu wa maswali.
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,883 Reaction score 25,870 Jul 4, 2022 #5 tamuuuuu said: Wameitwa mkuu Click to expand... Taasisi gani?
Sioy New Member Joined Mar 30, 2020 Posts 3 Reaction score 3 Jul 4, 2022 #6 udhudhun said: Mwenye Uzoefu wa maswali ya written kada ya examination officer msaada please. Click to expand... Ngoja waje Mkuu kama mmeitwa
udhudhun said: Mwenye Uzoefu wa maswali ya written kada ya examination officer msaada please. Click to expand... Ngoja waje Mkuu kama mmeitwa
Mwaisa1202 JF-Expert Member Joined Sep 30, 2018 Posts 491 Reaction score 1,093 Jul 4, 2022 #7 kyagata said: Taasisi gani? Click to expand... Hii itakuwa tengeru bila shaka ile ya kwaza kwa watumishi wa umma ambayo haikupitia ajira portal
kyagata said: Taasisi gani? Click to expand... Hii itakuwa tengeru bila shaka ile ya kwaza kwa watumishi wa umma ambayo haikupitia ajira portal
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,256 Reaction score 29,876 Jul 5, 2022 #8 kyagata said: Taasisi gani? Click to expand... Tengeru mkuu
Sioy New Member Joined Mar 30, 2020 Posts 3 Reaction score 3 Jul 5, 2022 #9 udhudhun said: Mwenye Uzoefu wa maswali ya written kada ya examination officer msaada please. Click to expand... Mkuu umefanikiwa kupata? maana kuna jamaa alisema kuna waliofanya mwaka jana 2021 ila kila akimtafuta huyo mhusika hapatikani alikuwa mmoja wao wa waliofanya written na oral interview.
udhudhun said: Mwenye Uzoefu wa maswali ya written kada ya examination officer msaada please. Click to expand... Mkuu umefanikiwa kupata? maana kuna jamaa alisema kuna waliofanya mwaka jana 2021 ila kila akimtafuta huyo mhusika hapatikani alikuwa mmoja wao wa waliofanya written na oral interview.