Mlikuwa na mahusiano serious na ya muda mrefu ila hujaweka sababu hasa zilizofanya mshindwe kuoana ni nini....je unavyotaka akuoe kuna kitu kimebadilika??
Huo ukaribu wa hivyo na x wako hauwezi kukuacha salama..kama ulishaamua kuachana nae ungekaa mbali na mawasiliano ukate...anakutumia tu huyo fungua akili tafuta wa kwako
Kwa kifupi tu ni kwamba jamaa hakukupenda wala hakupendi ila wewe ndio unampenda. Mwache aende zake, kwani hata ufanyeje sooner or later hatakuwa wako tena!
Bila shaka wanaume wengi tunakuona wewe ni king'ang'anzi. Na siku sio nyingi naweza kudhalilika. Mchana na huyo mtu moja kwa moja before it is too late. Kuanza upya siyo ujinga mama.