Ex wangu anaondoka... msaada

Isikilize nafsi yako kwa kuwa nafsi ni mtu wa ndani anayemuongoza mtu wa nje (mwili)
 
Huyo jamaa hajaacha, anatikisa kiberiti tu. Subiri akilewa kama kawaida.

Afu ni kama ulianza mapema sana. Maana huyu ni 10yrs ilopita, ina maana ulikuwa 18, na ni wa pili!
 
Muhumu kuweza kumove on aiseee
 
unajua kufanikiwa hakuna umri hata mahusiano pia hayana umri hapo umri unakutesa 28 na huna mapenzi ya dira ni tatizo ilo nachokushauri pambana na maisha yako mimi dada yangu kaolewa akiwa na miaka 30 na alikuwa na maujinga kama yako
 
Mkuu hiyo. Papuchi ni tamu leta uku tuongeze sukari guru
 
Ukiona hivyo ujue wewe ni aina flani ya wanawake ambao sio wife material lakini una shape kali na miuno ya kuvunja chaga...
Kwahii jamaa anataka akufanye wa matumizi ya rejareja
Huku akiwa na relationship yake na wifematerial wake
 
Achana nae. Utapita Kipindi kigumu cha kumkumbuka ila itafika hatua. Hata kumuona utakuwa hutaki
Akishaachana nae pesa za kulia bata utampa wewe? Watu wazima tushaelewa hapo jamaa yuko vizuri kifedha na ukizingatia hali ya hivi vyuma hapo ye akomae nae tu mpaka kieleweke akimuacha tu wadangaji wanampitia
 
Meridah Tough
inasikitisha sana kuwa una umri mkubwa lakini akili ni ya kitoto sana.
Amekuweka wazi kuwa hamuwezi kuwa pamoja yaani kuoana, na ana mpenzi wake na bado unamng'ang'ania!

Unapoteza muda kumpenda asiyekupenda.
Fungua moyo wako kwa mpenzi mtarajiwa ili aingie, achana na asiyekupenda
 
Miaka 28 hujitambui wewe vipi kuwa na akili hata kidogo watu wanaolewa mpaka 40 yrs sasa 28 unakuwa wa hivyo, miaka 20 mwanamke unajitambua acha hizo
 
Nyie bado mnapendana, cha msingi kamtafutie tu limbwata!
 
Miaka 28 hujitambui wewe vipi kuwa na akili hata kidogo watu wanaolewa mpaka 40 yrs sasa 28 unakuwa wa hivyo, miaka 20 mwanamke unajitambua acha hizo
huyu ni killazza full
 
Alikuwa anataka uendelee kumpa kitumbua chako . Kama unaweza endelea kumpa kitumbua jamaa atakuwa na njaa Kali .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…