TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,210
- 13,050
Pale Braza 'ako au Sista 'ako akiwa na mpenzi kisha wakaachana huwa Wanaitana Ex-Boyfriend/Girlfriend ama Ex-Wife/Husband..
Sasa wewe Mdogo/Dada/Kaka Mtu uliyekuwa unam-refer Mpenzi wa Sista/Kaka 'ako kama Shemeji/Wifi, je unaruhusiwa kumuita huyo mtu Ex-Shemeji au Ex-Wifi?
Naombeni kujuzwa manake nimejikuta kwenye mazingira mamoja na Ex-Shemeji 'angu na watu wanaponiuliza huyu ni nani kwangu huwa nazunguka sana kuwafafanulia..
Mapendo.