Alikua +?Nilineza PEP kwa huu uroho...kila akinitafuta namkimbia...Thanks God I am safe!
π π π π Dah..!! JF sihami ngΓ³oo..!! Kwahiyo unapigwa goli moja kila baada ya miezi mitatu?Napigilia msumari utafiti uliofanyika juzi ma ex wanachangia kueneza HIV. Nimeshuhudia live mdada aliachana na mwanaume, mwanaume akaoa kabisa huko, baadae mdada nae kaolewa. Akiwa na Mimba miezi mitatu kakutana na ex akampa.
Mume alikuwa kasafiri nje ya nchi.. Sasa hivi Dada yupo kwenye database ya taifa. Mbaya zaidi hakumuambia mume alivyorudi nae akampa. Aliogopa kusema. Kuna watu wanapitia magumu nyie acheni tu
Pimaneni Jamani Kuacha ngono sio easy. Mimi hadi damu itaniishia, kila goli Moja tunapima Tena.
Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app
Kwa mwanamke, kutokana na maumbile posibility ni kubwa ukilinganisha na mwanaume..!! We mimanii yako yenye ngoma umwagie mtoto wa watu halafu atoke salama..!!!Acha uongo mkuu, sio kweli kwamba ukichovya tu unao, unaweza ukapiga hata waathirika 1000 na ukapiga kisawasawa na ukapima hamna kitu
Ingekuwa ivo kila mtu ni muathirika..vp wanaotembea na wenye HIV na hawapati?Kuna watu hawana taarifa sahihi kuhusu VVV wanasema mpaka michubuko.
VVU hukaa kwenye shahawa "semen"
VVU hukaa kwenye Damu.
VVU hukaa kwenye utelezi wa njia ya haja kubwa sio kwenye kimba.
VVU hukaa kwenye majimaji ya mwanamke "Utelezi wenyewe ule"
VVU hukaa kwenye majimaji ya mwanaume "Pre cum".
VVU havikai kwenye mate.
Sio mpaka uchubuke maji yenye VVU yakipota kwenye mrija ushadaka. Na mwanamke jamaa hata asipomwaga akikuachia "pre cum" humo ndani unadaka
Nakumbushia ndugu zangu japo nje ya mada.
mimanii haina ngoma yoyote ndio mana anaweza kuzaliwa mtoto kutokana na hiyohoyo mimanii na akawa mzimaKwa mwanamke, kutokana na maumbile posibility ni kubwa ukilinganisha na mwanaume..!! We mimanii yako yenye ngoma umwagie mtoto wa watu halafu atoke salama..!!!
Nyama kwa nyama ndo unalazimishwa na muwasho, au siyo?Kondom zinawasha etiπ€
acha uongo ingekua hivyo kila mtu angekuwa muathrikia katika watanzania mil 60 waathirika wangekuma mil 55,hivi siku ukiambiwa hata vvu yenyewe ni illusion tu wala sio kitu halisi utajisikiajeKuna watu hawana taarifa sahihi kuhusu VVV wanasema mpaka michubuko.
VVU hukaa kwenye shahawa "semen"
VVU hukaa kwenye Damu.
VVU hukaa kwenye utelezi wa njia ya haja kubwa sio kwenye kimba.
VVU hukaa kwenye majimaji ya mwanamke "Utelezi wenyewe ule"
VVU hukaa kwenye majimaji ya mwanaume "Pre cum".
VVU havikai kwenye mate.
Sio mpaka uchubuke maji yenye VVU yakipota kwenye mrija ushadaka. Na mwanamke jamaa hata asipomwaga akikuachia "pre cum" humo ndani unadaka
Nakumbushia ndugu zangu japo nje ya mada.
Wakati mwingine haya mambo yanahitaji tu ulinzi wa Mwenyezi Mungu. Maana wote hatujui kesho yetu.Napigilia msumari utafiti uliofanyika juzi ma ex wanachangia kueneza HIV. Nimeshuhudia live mdada aliachana na mwanaume, mwanaume akaoa kabisa huko, baadae mdada nae kaolewa. Akiwa na Mimba miezi mitatu kakutana na ex akampa.
Mume alikuwa kasafiri nje ya nchi.. Sasa hivi Dada yupo kwenye database ya taifa. Mbaya zaidi hakumuambia mume alivyorudi nae akampa. Aliogopa kusema. Kuna watu wanapitia magumu nyie acheni tu
Pimaneni Jamani Kuacha ngono sio easy. Mimi hadi damu itaniishia, kila goli Moja tunapima Tena.
Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app
HahahahaNapigilia msumari utafiti uliofanyika juzi ma ex wanachangia kueneza HIV. Nimeshuhudia live mdada aliachana na mwanaume, mwanaume akaoa kabisa huko, baadae mdada nae kaolewa. Akiwa na Mimba miezi mitatu kakutana na ex akampa.
Mume alikuwa kasafiri nje ya nchi.. Sasa hivi Dada yupo kwenye database ya taifa. Mbaya zaidi hakumuambia mume alivyorudi nae akampa. Aliogopa kusema. Kuna watu wanapitia magumu nyie acheni tu
Pimaneni Jamani Kuacha ngono sio easy. Mimi hadi damu itaniishia, kila goli Moja tunapima Tena.
Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app
πΆππ’πππππ, ππ’π‘ ππ ππ ππ€π ππβππππππ‘π π¦πππ ππ πππππ¦ππ¦πππ’π‘π πππππππ’π π‘π’ ππ’πππ ππππππ βπ πΆπππππAlikua +?