Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,883
Ex wangu hata sinaga time nae.dah pale juu nimesoma hivi "ex ka`n`iambukizia hiv" aloo!
Never everNi kweli,ndo maana tunafundishwa kutokurudi nyuma tusije geuka nguzo ya chumvi....ex harudiwi
Zile ahadi za "kamwe sitokusaliti, sitokuacha, mm niwako milele... Amen~hii (amen) inajiweka automaticaly.
😅😅😅mimi hadi damu itaniishia.kila goli Moja .tunapima Tena.
Mtu wa leo sio wa kesho[emoji28][emoji28][emoji28]
EndeleaNilipiga nikarudi
Akarudi nikapiga
Nikarudi nikapiga
Akarudi nikapiga
Chubwa chubwi chubwo chubwe chubwe
Ex mtamu pasha kiporo beba HIV Kit mpime ngwengwe kabla
Chubwa chubwa chubwa chubwi chubwi
Kila goli moja mnapima😂😂😂Napigilia msumari utafiti uliofanyika juzi ma ex wanachangia kueneza hiv
Nimeshuhudia live mdada aliachana na mwanaume,mwanaume akaoa kabisa huko,baadae mdada nae kaolewa.akiwa na Mimba miezi mitatu kakutana na ex akampa .mume alikuwa kasafiri nje ya nchi..Sasa hivi Dada yupo kwenye database ya taifa
Mbaya zaidi hakumuambia mume alivorudi nae akampa .Aliogopa kusema.
Kuna watu wanapitia magumu nyie acheni tu
Pimaneni Jamani Kuacha ngono sio easy .mimi hadi damu itaniishia.kila goli Moja .tunapima Tena.
Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app
That's it cute
Mie ndio maana kilio changu kipo pale pale...jamani wanaume tugegede malaya kama tunataka kutoukwaa huu ugonjwa. Hawa gelofrend sijui wife ndio wanatuoeleka kaburini mapema. Tulinde uhai at all costNapigilia msumari utafiti uliofanyika juzi ma ex wanachangia kueneza hiv