Ex amerudi kwangu

Wewe CreditAnalyst ni mkatili ati?
 
Mnyonye kwanzaa
 
Wewe CreditAnalyst ni mkatili ati?
Huo ndo.ukweli Jamani. Miaka miwili ya uzima wake hakuwai kumkumbuka.

Huyu Dada Hana mahusiano?..hata Kama hana...Huyu atakuwa msaada gani Huyu Hanithi?..

Je asipopona itakuwaje?...Je akipona but akawa Sio Kama zamani..atavumilia?..

Kama yupo teyari kuishi Bila tendo na Wala asicheat...maana asizae..

Namtakia kila la kheri
 
Hizi mambo za kukutana na Ex hizii!!! Kuna mwenzio nimeshampa Tahadhari, kibaya zaidi nyie akili si huwa zinarudi rivasi!
 
Huyo anamatatizo ya nguvubza kiume kwa sababu ya unywaji wa mi pombe haswa ma konyagi na K vant plus stress sasa amekumbuka kuwa enzi zile upo nae ngoma ilikuwa inasimama balabala so alikuita kujaribu ili aprove kama dusherere lake limeharibika gear box mazima ama laa.
We hupendwi wala nini huyo ana stress ambazo zimemdhuru hadi nguvu za kiume zimepotea.
"NASIKIA WANAUME WOTE NI MBWA"
 
Nimeishia hapo uliposema " siku ya miadi imefika nawewe tena ndio ukampigia x wako kumkumbusha"
 
We huo kama ni bahati kupata fursa ya kukumbukwa na mtu anapokuwa kwenye matatizo? Inabidi kumshukuru Mungu kwamba umekuwa wa msaada.Kama hujawahi tatua tatizo la mtu jiulize mara mbili mbili
 
We huo kama ni bahati kupata fursa ya kukumbukwa na mtu anapokuwa kwenye matatizo? Inabidi kumshukuru Mungu kwamba umekuwa wa msaada.Kama hujawahi tatua tatizo la mtu jiulize mara mbili mbili
...Dada Mungu huyu Huyu anakupeleka ukatatue Tatizo la mtu kwa uzinifu... Yaani tumia Dawa tuzini ndo tujue Kama Umepona..Mungu huyu Huyu Anaekataza Uzinifu?

Nimesaidia Watu kadri ya uwezo Wangu..na Wala Sina utakatifu wowote.

Sijui mnataka ampe msaada gani?..Hebu wewe Seema HUYU Hanithi apewe msaada gani?
 
We huo kama ni bahati kupata fursa ya kukumbukwa na mtu anapokuwa kwenye matatizo? Inabidi kumshukuru Mungu kwamba umekuwa wa msaada.Kama hujawahi tatua tatizo la mtu jiulize mara mbili mbili
Hivi unaiita bahati mtu Ana kaa mwaka hajawai hata kukujulia Hali...akipiga anataka umsaidie pesa..anakaa Tena miezi sita anapiga umsaidie pesa..Hivyo hivyo..

Kama kwako wewe hi Ni bahati..Basi Mimi Sijui maana ya bahati.
 


Nilichokiongea ni ukweli wa milele, watu watajidanganya humu
 
Ila wanawake Mungu atuwekee mkono jamani 2 years mmeachana leo unaitwa tena Guest unaenda kabisa kwa kukenua ivi ingesimama ukaja kupata na ugonjwa ungekaa chini ulie au ustaajabu, move on dada huyo hamna kitu hapo nyie ndio mnafanywagwa uzwazwa ukija kushtuka uko single uzeeni mwenzio yake yanaenda.
 

Asante Kwa ushauri
 
Daaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…