Ewura : Nchi Ina Mafuta ya Kutosha

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
Ewura : Nchi Ina Mafuta ya Kutosha


Ewura-1.jpg


Felix Ngamlagosi (kulia) akisikiliza maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wanahabari (hawapo pichani) kulia kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya Petroli, Godwin Samwel walipotoa taarifa ya mafuta nchini leo katika ofisi zao mpya Jengo la LAPF, Dar.
Ewura-2.jpg


Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), Felix Ngamlagosi (kulia) akisoma taarifa yake inayosema mafuta yapo mengi nchini.
Ewura-3.jpg


Mkutano ukiendelea na wanahabari.
Ewura-4.jpg


Wanahabari wakichukua tukio hilo.

ewura1.jpg
ewura2-001.jpg
ewura3.jpg


NA DENIS MTIMA/GPL
 
Back
Top Bottom