Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,878 Reaction score 31,666 Oct 4, 2017 #61 GoPPiii. said: Kweli mkuu,kwa wenye mkopo wachukue tahadhari na wasio nao nina imani watapata mlango wa kutokea. Click to expand... Poleni sana vijana. Ila msituangushe 2020 sasa.
GoPPiii. said: Kweli mkuu,kwa wenye mkopo wachukue tahadhari na wasio nao nina imani watapata mlango wa kutokea. Click to expand... Poleni sana vijana. Ila msituangushe 2020 sasa.
GoPPiii. JF-Expert Member Joined Oct 6, 2014 Posts 1,792 Reaction score 3,079 Oct 4, 2017 Thread starter #62 kisumapai said: Kazi iliyo baki mtahani ni moja tu .kubet kwahiyo waambie wajipange maana uku kanji ana masiala kabisa ata mia tano anachukua ukiingia kwenye mabanda ya kupetia usishangae unakutana na dada yako pamoja na mjomba Click to expand... Kubet hata kidogo ulichonacho kinaweza potea.
kisumapai said: Kazi iliyo baki mtahani ni moja tu .kubet kwahiyo waambie wajipange maana uku kanji ana masiala kabisa ata mia tano anachukua ukiingia kwenye mabanda ya kupetia usishangae unakutana na dada yako pamoja na mjomba Click to expand... Kubet hata kidogo ulichonacho kinaweza potea.
GoPPiii. JF-Expert Member Joined Oct 6, 2014 Posts 1,792 Reaction score 3,079 Oct 4, 2017 Thread starter #63 Hance Mtanashati said: Poleni sana vijana. Ila msituangushe 2020 sasa. Click to expand... Haina neno mkuu.
Hance Mtanashati said: Poleni sana vijana. Ila msituangushe 2020 sasa. Click to expand... Haina neno mkuu.
Designer_3434 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2015 Posts 4,930 Reaction score 3,980 Oct 4, 2017 #64 Ushauri mzuri sana