Haya endelea kumruhusu ajimwangie mirangi yenye kuleta harufu kali na mafuaPrimitive mind.
Wachache sana huwa wananielewa kama wewe mkuunipo upande wa mtoa mada
Umeona sasa ? Unarudi pale pale kwenye hoja yangu. Kula umekula na kula umelala. Eti huduma ni kununua hiyo mirangi. Kama una sura mbaya vumilia tu ndiyo mungu aliyokupatia hiyo. Sasa unafikiri utajipapaka mpk lini ?Inasikitisha sana...
Tafuta pesa kwanza... ukizipata hivyo vitu utaona kawaida sana kumuhudumia mwanamke/mke wako... tena utakuwa unampeleka mwenyewe madukani...
usione vyaoelea...
cc: mahondaw
Inasikitisha sana...
Tafuta pesa kwanza... ukizipata hivyo vitu utaona kawaida sana kumuhudumia mwanamke/mke wako... tena utakuwa unampeleka mwenyewe madukani...
usione vyaoelea...
cc: mahondaw
Afadhali. Kiukweli wa hivi tupishane round about. Mungu apishe mbaliMwanamke wa hvyo hajafunzwa na wazaz wake
Acha kutetea uongo mkuu, mwanamke ajipake marangi kama ukuta ndiyo unaona sawa ? Haya ma make up yamekuja juzi tu, lkn kujiremba kupo miaka kibao. Vaa nguo nzuri. Usibadili maumbile na muonekano wakoKuanzisha drama za kishamba, ili kuonekana wewe ndio mkuu, ni upopoma. Ukuu unakuja automatically, ukisikia mwanaume anasema 'unajua mimi ndio baba' jua huyo keshapoteza mwelekeo - ubaba hauji kwa kushindwa kuhudumia dressing table.
Mwanaume haujiamini, kwamba mkeo akijiremba basi analiwa nje - akili za vibamia hii. Hawa mabinti ni 'pambo' bwana, muda wote lazima wawe nadhifu, scent nzuru, ukitembea nae kajipiga mapoda hata wewe kidume kifua kinakua mbele, sio binti unakuta manyusi yametapakaa kila kona ya jicho.
Pata Likes 100. Umenena vemaKuanzisha drama za kishamba, ili kuonekana wewe ndio mkuu, ni upopoma. Ukuu unakuja automatically, ukisikia mwanaume anasema 'unajua mimi ndio baba' jua huyo keshapoteza mwelekeo - ubaba hauji kwa kushindwa kuhudumia dressing table.
Mwanaume haujiamini, kwamba mkeo akijiremba basi analiwa nje - akili za vibamia hii. Hawa mabinti ni 'pambo' bwana, muda wote lazima wawe nadhifu, scent nzuru, ukitembea nae kajipiga mapoda hata wewe kidume kifua kinakua mbele, sio binti unakuta manyusi yametapakaa kila kona ya jicho, unakuta binti ananuka harufu ya feri. Boss sambaza matunzo kwa huyo mlimbwende, sifa za kung'aa kwake zinarudi kwako.
Ubakie hukohuko upande wakenipo upande wa mtoa mada
Safiii. Siyo unajaza makolomakolo ndani hadi chumba kinabadilika harufu utadhani wodiniNaunga hoja mkono, kwangu ninachotumia mm ndicho wife anatumia, ata Pafyum, ukimnunulia ya kike aitaki anapenda za kwangu plus losheni, sinaga gharama mm.
Kumbe umegundua tatizo ni pesa eeeh!!!Inasikitisha sana...
Tafuta pesa kwanza... ukizipata hivyo vitu utaona kawaida sana kumuhudumia mwanamke/mke wako... tena utakuwa unampeleka mwenyewe madukani...
usione vyaoelea...
cc: mahondaw
Baambie baeleweKuanzisha drama za kishamba, ili kuonekana wewe ndio mkuu, ni upopoma. Ukuu unakuja automatically, ukisikia mwanaume anasema 'unajua mimi ndio baba' jua huyo keshapoteza mwelekeo - ubaba hauji kwa kushindwa kuhudumia dressing table.