Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,846
- 99,809
Na panic yao huwa mbaya sana. Hawakawii kujiharishia.hahaa mkuu umepanic

kweli kabisaa..hahaaNa panic yao huwa mbaya sana. Hawakawii kujiharishia.
Mnawadharau na kuwatukana Watanzania kuwa ni wajinga hapo hapo mnataka wawape nafasi ya kuwaongozaFumbeni macho yenu na usingizi uwapitie. mbongo zenu zitulie ili kesho mfikiria ujinga mwengine zaidi, enyi watanzania weusi, alama halisi ya mwafrika wa kughushi aliyeharibiwa akili na ukoloni, hata naye awe mkoloni kwa wenzake.
Ambao, mkipewa mbegu mtazipika na kuzila kwa uroho, halafu mkaombe tena. Kwakuwa matumbo yanataka zaidi huku mbongo zenu zinataka kidogo.
Usingizi uwapitie, ili angalau sasa, huko ambako jua linachomoza, viumbe wateule waendelee kujidhihirishia uteule wao.
Usingizi uwapitie; Enyi wenye maradhi, masikini na wajinga!
Na msidhani kama mtaamka mkiwa tofauti, Bado sana.
Mtabaki watumwa wa watu wa Ulaya Asia na Amerika. Hata watoto wenu na watoto wa watoto wao wataendelea kuwa vijakazi wa watu wengine, wateule.
Kwa kuwa nimeshindwa kujitaabisha kwa faida yenu wenyewe, mtataabika kwa faida ya wengine.
Usingizi uwapitie, ili dunia sasa ipumzike baada ya kuvumilia ujinga wenu mchana kutwa.
Kesho! Tunatarajia kusikia ujinga mwingine zaidi.
Ex Afrique Semper, Aliqui Novi
Mjinga ni wewe au ni yule?Fumbeni macho yenu na usingizi uwapitie. mbongo zenu zitulie ili kesho mfikiria ujinga mwengine zaidi, enyi watanzania weusi, alama halisi ya mwafrika wa kughushi aliyeharibiwa akili na ukoloni, hata naye awe mkoloni kwa wenzake.
Ambao, mkipewa mbegu mtazipika na kuzila kwa uroho, halafu mkaombe tena. Kwakuwa matumbo yanataka zaidi huku mbongo zenu zinataka kidogo.
Usingizi uwapitie, ili angalau sasa, huko ambako jua linachomoza, viumbe wateule waendelee kujidhihirishia uteule wao.
Usingizi uwapitie; Enyi wenye maradhi, masikini na wajinga!
Na msidhani kama mtaamka mkiwa tofauti, Bado sana.
Mtabaki watumwa wa watu wa Ulaya Asia na Amerika. Hata watoto wenu na watoto wa watoto wao wataendelea kuwa vijakazi wa watu wengine, wateule.
Kwa kuwa nimeshindwa kujitaabisha kwa faida yenu wenyewe, mtataabika kwa faida ya wengine.
Usingizi uwapitie, ili dunia sasa ipumzike baada ya kuvumilia ujinga wenu mchana kutwa.
Kesho! Tunatarajia kusikia ujinga mwingine zaidi.
Ex Afrique Semper, Aliqui Novi
Ukinishambulia mimi utakuwa unathibitisha tu ukweli kwamba kumekuwepo na ongezeko la wajinga, wewe ukiwemo!Hao wajinga wanalishwa na mama yako? utamwitaje mtu mjinga anayejitafutia chakula chake na kujilisha wenyewe? Iwe kwa mujibu wa takwimu koko au wewe