Tatizo hao wakoloni hawana swaga za maanaOfa ofa ofa kuelekea Msimu wa sikukuu na mwaka mpya,
We msichana/Mdada/Mmama wa jamii Forum inakuwaje uko Single mpaka sasa,
Mi Zero IQ nakalibisha mahombi yenu PM ya kuwa Mwenza wako siku zote za maisha yako,
Kwa sasa niko Single Changamkia Fursa Nafasi ni Chache (1 tu).
Karibuni.
Cc Zero IQ
Hahaaa, haya mkuu kila la kheri.Bado mkuu
Tatizo hao wakoloni hawana swaga za maana
Tiririka kwa sera murua [emoji28][emoji28]Hahaaaa[emoji849]