Ndio Tigo mkuuHivi kurukwa ukuta si ndo tigo au?Kwingine kote nakazia ila hapo kwa kurukwa ukuta labda kama mimi nakosea kuelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Tigo mkuuHivi kurukwa ukuta si ndo tigo au?Kwingine kote nakazia ila hapo kwa kurukwa ukuta labda kama mimi nakosea kuelewa.
Hahaha! Umegongomelea nyundo kabisa! (Kwa lafudhi na sauti ya kisukuma).Kwenye bembea hapo nimecheka sana, huyo mwanamke ni mtoto wa Sir Isaack Newton nini?
Ukimuacha aende utakuwa umekata tamaa na utakuwa umekubali kushindwa. Maisha in mapambano, jitahidi kuzishinda changamoto.Hadi kurukwa ukuta!!? Kisa ni nini? Kulipalilia penzi??? Huyo aende zake tu kwa amani. Usijidanganye bi dada kuwa ukirukwa ukuta ndo utamdhibiti... Wacha niishie hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimecheka sana aiseeAaaa St. Paka Mweusi licrush langu la miaka mingi eti sahivi ndo anataka anione, nyie jamani kweli yule bibi mganga dawa zimefanya kazi.
Nilikumbana nayo hiyo kitu maeneo ya nyehunge huko kwa mama mmoja wa kisukuma kuna point fulani hivi unahisi kama *boo inaminywa ndani kwa ndani huku kukiwa na kama usumaku hivi design inavutwa huko kwa ndani kisha ananyonga kama vile usukani wa zile lailand duf za enzi ya mkoloni huku na huko - sasa zoezi hilo linafanyika endelevu kwa dakika kadhaa na mpangilio wa aina yake ,weeeeeeeeeeeeh!, weeeeeeeeeeh!, sio kwa utamu ule aiseeeeeeeee!
Siku zote mwanaume anayekupend na kukuheshimu hawez kukurukisha ukuta daimaUsiporukwa wewe atarukwa mchepuko,atakuja akusaidie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,Point to note:just a joke
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha........hatari sana hii. Umenikumbusha mambo ya pandelum Bob, duh! Mara velocity Ila umesahau oscillationWe endelea kulala style ya mende anaye kufa, huku ukijiliza kama mtoto aliyenyimwa pipi utaachwa mpk shetani akushangae.
Vitoto vidogo vitakuwa vimaolewa wewe utaendelea kujipaka kila aina ya make-ups na kuvaa viguo vya kubana tumbo na kujinyima kula ili usinenepeane lkn kamwe huwezi kumgandisha mwanaume kwa kumpa k ktk zama hizi.
Ngono karne hii ni sanaa kama sanaa nyingine, na kwa kuwa wanawake in wengi kuliko wanaume, mwenye ubunifu wa ziada ndiyo anafanikiwa.
Watoto wa Leo ni wabunifu balaa! Mpka bembea wanafunga vyumbani mwao. Bembea ikisukumwa inampeleka meta kumi toka pale mwanaume aliposimamisha mtarimbo wake. Halafu k inasafiri kwa velocity Kali kuja kujipachika kwenye mtarimbo.
Mwanaume wa hivi atatamani kurudi kwa wewe usiyetaka kurukwa hata ukuta? Atarudi kwa wewe usiyelamba hata koni? Atarudi kwa wewe usiyekuwa na kiuno kinachozunguka kama feni?
Tafuta kitu cha ziada ili umpate wa kumgandisha na kukuoa.
Hahahaha........hata Pete za ndoa wanagoogle kama MAGARI?Shunie njoo huku Mwaka wa 9 sasa unagoogle tu Pete za ndoa.
Hahahaha....mkuu hii imenichekesha sana, watu wanawaza mbali sana. Imagine hizi akili zikielekezwa kwenye viwanda tutakuwa WAP?Tanzania ya viwanda hiyoooooo, haki ya mama haya mambo tunayaweza hadi Trump anashangaa sana:" Watoto wa Leo ni wabunifu balaa! Mpka bembea wanafunga vyumbani mwao. Bembea ikisukumwa inampeleka meta kumi toka pale mwanaume aliposimamisha mtarimbo wake. Halafu k inasafiri kwa velocity Kali kuja kujipachika kwenye mtarimbo"....
Kwahiyo ungekua umri haujakimbia inaonekana ungeruhusu akuruke ukuta ni kutokana na maelezo yakoDuke Tachez na uzee huu nirukwe ukuta jamani!!! kwa kweli hapo mchepuko lazima achukue nafasi yake.
Wengine wanaita kusukuma mboleaDunia na maajabu yake,MTU akitoa ushuzi watu wanakunja sura na kubana pua kama wanataka kujitoa roho,lakini baadae wanaenda kuchezea kinyesi eti kuzibua mtaro!!!Mungu niepushe na kuzibua mitalo bola iendelee kuziba tu