Ewaaaa, kweli hujafa hujaumbika!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

bacha

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
4,282
797
Habarini wapendwa, ni masiku tele yamepita bila kuonana/kusalimiana!habari lenu bana!
Nimerudi tena jamvini!Nilikuwa kwenye mafunzo ya jando, kule kwetu kwenye sato wengi!

Tuendeleze soga kama kawa wapendwa!nijuzeni kimejiri nini humu ndani ya jamvi toka nimeondoka??????????
 

Hivi kumbe uliondoka? Uliondoka lini sasa?
 

Karibu sana
Naona watakukoma sasa maana umefundwa ukafundika
 
uchaguzi kaka, ulinificha mbali sana tanzania hii!nimejitahidi kuwabana wasichakachue kura lakini ndo kama hivyo tena!!!!!

ulinunuliwa? Vijana wapiganaji wa kura walikua kawe mkuu!
 
hivi wewe ni she au he? nimesahau, ze finest, unaweza kutukumbusha?
 
ulinunuliwa? Vijana wapiganaji wa kura walikua kawe mkuu!

Nimeipenda hiyo kaka!kweli vijana wa kawe mmeonyesha mfano wa kuigwa!nadhani kule kwetu nguvu yetu ilikuwa ndogo, tulizidiwa na wachakachuaji!
 

Tatizo uliondoka bila kuaga ila kurudi ndo unasema. Usirudie tena mambo kibao tu humu. Welcome back
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…