Big up mkubwa? ccm alianza kama sokwe kipindi cha Kambarage ikawa binadam kamili kipindi cha Mwinyi ikawa kama mbwa kipindi cha Mkapa ikawa kama nguruwe na kipindi cha Jakaya ikawa fisi kabisa chochote kinachoonekana ni halali yake, watatumaliza hawa.