Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,578
- 50,818
😂😂😂 nilimueleza sister kuna rafiki yangu ananishauri ujinga akacheka sanaHebu nipe yule padri tujaribu naye kwanza😵💫
😂😂😂 nilimueleza sister kuna rafiki yangu ananishauri ujinga akacheka sanaHebu nipe yule padri tujaribu naye kwanza😵💫
🤣🤣ila wewe ngoja tuoneHebu nipe yule padri tujaribu naye kwanza😵💫
We mwenyewe unamvizia sister, anajichekesha hajui tu ipo siku utapita naye sio?😆😂😂😂 nilimueleza sister kuna rafiki yangu ananishauri ujinga akacheka sana
Fanya mpango ule kwanza, sijawahi kumla padri unajua🤣🤣🤣ila wewe ngoja tuone
ili ukamlishe bangi padri 😂Fanya mpango ule kwanza, sijawahi kumla padri unajua🤣
miaka 2 sasa na hakuna kitu🤣🤣🤣We mwenyewe unamvizia sister, anajichekesha hajui tu ipo siku utapita naye sio?😆
Kidogo tu😃ili ukamlishe bangi padri 😂
Ipo siku isiyokuwa na jina nakwambia 😅miaka 2 sasa na hakuna kitu🤣🤣🤣
Mbona hatari hii😬Jamaa kaoa, na mke wake kajifungua hivi karibuni, na wamelazwa wodi either ya VIP au Private kwenye moja ya hospitali kubwa hapa jijini Dar.
Lakini ambalo mume hajui ni kwamba mke wake ameathirika (ana UKIMWI), na anatumia ARVs kwa muda mrefu. Na hapo hospitali mke anafanya kila namna ili mume asijue.
Ila mleta uzi kwa kuwa ni medical personel, na tayari katika situation kama hii huwa inaleta kitu inaitwa "ETHICAL DILEMMA" basi kwa usalama wa kibarua chake ameamua kuja kutoa code huku Jf.
Hii Ethical Dilemma huwa inatesa sana, maana Ethical Principle moja inasema "Hauruhusiwi ku-Disclose taarifa za mteja mpaka pale yeye atoe ruhusa", halafu nyingine inasema "Unapaswa kuilinda jamii dhidi ya hatari ya kupata maradhi".
You deserve to be in that organisation, kingsman the secret service.Jamaa kaoa, na mke wake kajifungua hivi karibuni, na wamelazwa wodi either ya VIP au Private kwenye moja ya hospitali kubwa hapa jijini Dar.