Mmebarikiwa kuongeza mwanafamilia mpya hivi karibuni, hongereni!
Mama na mwanafamilia mpya wamepumzishwa sakafu ya juu kabisa ya mahali hapo, wodi mahususi.
Sorry, hayo unayajua.
Usilolijua ni kwamba mama ni mdau wa 'njugu' kwa muda sasa na anafanya 'everything' usijue, ikiwemo kuwaasa wenyeji wa hapo kukuficha hili.🥺
Shtuka.
Wanandoa, kuwa nae ndani haimaanishi umeumaliza mwendo, 'checkings' za pamoja ni muhimu.