EverythingDAR hakiki nafasi za kazi mnazopost: Stop Hacking Peoples's Email | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EverythingDAR hakiki nafasi za kazi mnazopost: Stop Hacking Peoples's Email

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by geophysics, Mar 8, 2011.

 1. g

  geophysics JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa wale mnaotembelea www.everthingDAR.com kuweni makini na kazi ambazo hawa watu wana post. Kuna baadhi wanatangaza kazi kumbe wanataka kuchukua information zako kwa matumizi binafsi na wala hakuna kazi wala nini....Kwa mfano.... kuna kazi kama administrative officer ambayo inatangazwa na www.livingfund.org. Kila ukiomba unajibiwa hivi...

  Dear XXXXXX, YYYYYY
  Thank you for your application.

  We have reviewed your qualifications and pre- shortlisted you for the position of Administration Officer with Living Fund- Tanzania Program

  Find attached the Living Fund Entry Assessment Form. Fill it honestly and
  accurately and return the same as we need to fill the position as soon as possible .

  Please note that we require for the position your latest Cognitive Ability Psychometric Test(CAPT) certified by an Independent Psychometric Invigilator

  Should you not have your psychometric assessment ready, please fill the
  entry assessment form but schedule your CAPT with an International
  invigilator including but not limited to;
  Apple gate www.applegate.co.uk
  Escbon Services Africa www.escbon.com
  Testing Mind www.testingmind.com

  Any other accredited CAPT Invigilator is fine as well.
  Please scan and email the certified CAPT score to reach me by Friday 11th March 2011.


  Wishing all the best in remaining application processes.

  Regards,

  Klause Clark
  Human Resource Manager,
  Living Fund- Horn of Africa
  klause@livingfund.org
  www.livingfund.org


  Shirika lenyewe linalotangaza kazi hiyo halipo na wanataka ufanye mitihani ya Cognitive Ability Pschometric Test ndo wakupe kazi....

  Taadhari kwa: Mnaoomba kazi...kuweni makini mahali mnapotuma CV zenu....
  Taadhari kwa: www.everythingDAR.com kuweni makini na kazi mnazosomba kwenye mitandao isiyoeleweka maana na nyie mtakuwa sehemu ya lawama.

  Nawasilisha
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Mmhhh hii kali mimi kuna mbili wameniita interview na moja nimepata ila salary tu ndogo nimekataa
   
 3. mwankuga

  mwankuga JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Asante kwa tahadhali hiyo mkuu,nami nime-notes kitu kama hicho.
   
 4. p

  pihu Senior Member

  #4
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dena waliokuita for the interview is it LIVING FUND or? Maanake hao watu wa LIVING FUND nawatafuta ile mbaya...
   
 5. p

  pihu Senior Member

  #5
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I completely agree Everyhtingdar and such advertising medium should be careful while advertising for the job.. otherwise people will loose faith in them... do u want that to happen EVERYTHINGDAR???
   
 6. p

  pihu Senior Member

  #6
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yes you are right watu wanatangaza kazi feki.. they just wnat our info and our money...

  ndio hapo naongea na
  Kirk Gillis  Managing Director of everythingdar

  +255
  0784 402 463​


  naongea nae kuhusu hiyo suala la LIVING FUND...

  People you 2 call and ask... je tutakubali mpaka lini watu watufanyie ufisadi?

  Till when will we be scared to apply for jobs, even if its a genuine job because of fake jobs?

  People do not you want to question this person????

  Do It... Its our right

  i shall write about the feedback soon
   
 7. p

  pihu Senior Member

  #7
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamaa Mr. Kirk anasema it is their first time to work with LIVING FUND; hawamjui ni nani and they are not sure if the company exist or not....yeye anasema wao hawahusiana na yaliyotokea...

  But i believe people should do thorough serach before advertising something
   
 8. t

  totolucky JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,013
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Habari,mimi ni Pendo kutoka EverythingDAr.com.Asante kwa wale walitupa tahadhari kuhusu kazi iliyotangazwa na Living Fund.Tafadhali naomba kuwataharifu kuwa hii ni mara ya kwanza kwa utapeli kama huu kutokea katika EverythingDAR.com. Wakati wote tunakuwa makini katika kuhakikisha kwamba mambo mbalimbali yaliyopo katika tovuti yetu ni sahihi na ya uhakika,nafasi za kazi ikiwa mojawapo, ingawa kwa tovuti maarafu kama hii,matapeli wanaeza kufanya kila wawezalo kuingia ili kurubuni watu.
  Kama unatuma maombi ya kazi ambayo umeiona katika tovuti ata katika magazeti,tafadhali kumbuka yafuatayo:

  1.Usilipe kwa njia yoyote ile ili kufanya interview,Kuna waajiri wengine watapenda kukufanyia test lakini endapo utasikia unatakiwa kulipia test hiyo kabla,kuwa makini inaweza kuwa ni utapeli.
  2.Ukitaka kununua bidhaa yoyote uliyoona katika mitandao mbalimbali,hakikisha umeona kwanza bidhaa hiyo kabla ya malipo ili kuhakikisha uwepo wa bidhaa hiyo.

  Tunaomba samahani kwa wale wote waliohusika katika utapeli huu kwa njia moja au nyingine.Nafasi ya kazi ya kutoka Living Fund imetolewa katika tovuti yetu mara moja na tumewasiliana na mamlaka husika na Living Fund haitaweza kupost chochote kile katika tovuti yetu.

  Salaam,
  Pendo.


  Hi, this is Pendo at EverythingDAR.com. Thank you for bringing this to our attention. Please know that this is the first time a scam has gotten through our filters. We do everything possible to verify the accuracy and credibility of all our content, including jobs. However, with a popular websites such as ours, sometimes clever scam artists can get through. Whether you are apply for a job advertised in the newspaper, or online, please always remember following:

  1. You should never, under any circumstances, pay to apply for a job, or to take a test required by the employer. Some employers may indeed want to test you, but they should pay for it. If they want you to pay for it, you should refuse and assume it is a scam.
  2. When purchasing an item for sale, never pay upfront. Whether online or in print, you should never pay for something until you have seen it and verified its authenticity yourself.
  We apologize for any inconvenience this may have caused some of you, and we have removed the Living Fund jobs from EverythingDAR.com. We have reported them to the appropriate authorities and they will not be permitted to post on EverythingDAR.com again.

  Sincerely,
  Pendo
   
 9. g

  geophysics JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pendo we thank you for sincere apology...Huu ndio uungwana au tuseme professionalism, tunataka biashara yenu ikue na isionekane ya kitapeli. Baada ya kufanya detailed research ya Living Fund na kugundua kuwa ni kampuni fake ambayo ni ya vijana fulani wawili wako Uingereza na South Africa tena hata ambao hawawezi hata kutengeneza website,niliona nitoe taadhari kwa watz walio wengi hasa wanao hangaika na kazi. Mnapopost data ingekuwa vema mkafanya uchunguzi wa kina ili baadae isije kuwaharibia jina lenu. Hata hivyo tunawashukuru kwa kutusaidieni kupata info nyingi ambazo ni muhimu kwa jamii
   
 10. t

  totolucky JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,013
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Nashukuru na naomba tuendelee kupeana tahadhari na taarifa mambo kama aya yanapotokea ,si kwa EverythingDAr.com tu ,naamini matapeli wapo katika mitandao mbalimbali,asante na hilo na tuendelee kujenga Taifa kwa umoja,pamoja sana ndugu.
   
 11. p

  pihu Senior Member

  #11
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 103
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hi Pendo,

  I do not know how to put this but i was told by your MD that you also get opportunities to post jobs of the company that is not existing in Dar but is soon goign to open up; i believe LIVING FUND was one among such a company. I will appreciate if you would be working for companies that alreday are in Dar es salaam, this will give us some kind of boost that we should apply for the vacancies announced.

  Can you pls discuss this and give me a feedback. Beacuse honestly i ahve no faith in applying for a company that is not currently existing in Dar.

  I'm not convinced

  Shall wait for your feedback.

  I guess your MD has my number if you want to talk feel free.

  Good Day,
  Pihu
   
 12. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #12
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
Loading...