Watu gani hao ndugu?Kuanzia mashuleni,maofisini na sehemu mbali mbali watu wa aina hii hawa kosekani.
Sifa zao kwanza kama ni ofisini unaweza kupoteza kazi.
Upande wa mashuleni au vyuo ndio wanaongoza kutunga pepar ngumu na ndio wenye masomo magumu.
View attachment 3287849
Sokwe!Watu gani hao ndugu?