Every human must watch this photos

dahhh inatia huruma kwa kweli..

Kitu kimoja tu tunacho in common "Kifo"....
na hicho ndicho kinachonifanya nijione binaadamu maana huwa hakimwachi mtu bila kujali cheo chake wala kama ana uwezo wa kuwaua sana wenzake iwe kupitia ujambazi utawala au uchawi wake.siku njema.
 
Sina la kusema,ila nilifurahi siku moja huku nilipo tulichanga pesa kanisani kwa ajili ya kuwasaidia wenye upungufu wa chakula Afrika.Kwa kweli siku hiyo nilipata amani sana.Mungu zidi kuwasaidia watu wako.
hakuna kitu kizuri na kiletacho amani moyoni kama kumsaidia mtu.ila nataka ujue kwamba pamoja na moyo wako mwema bado kuna watu huwaza kuiba pesa hizo hizo kaka.dunia ni mbaya sana na cha kusikitisha inazidi kuwa mbaya zaidi.
 
hakuna kitu kizuri na kiletacho amani moyoni kama kumsaidia mtu.ila nataka ujue kwamba pamoja na moyo wako mwema bado kuna watu huwaza kuiba pesa hizo hizo kaka.dunia ni mbaya sana na cha kusikitisha inazidi kuwa mbaya zaidi.

Mkuu ulichosema ni kweli, kuna watu wana roho mbaya sana na hawajali shida za wengine kabisa na hutaka kuneemeka kupitia matatizo wengine.Kweli dunia inaelekea kubaya sana.Ila tusikatishwe tamaa na mijitu kama hiyo,ukipata nafasi changia,tuokoe hata wachache.Uwe na wakati mzuri kaka.
 
this is shockingly sad, sikujua kama kuna starvation iko to this extent. I'm overcomed with grief:A S cry: :A S cry:. Increase awareness of this situation inaweza kusaidia kupunguza makali kwa waathirika, I remember in 198x musicians walileta awareness na UN ikasaidia. the same can be tried now people are desperate, watu wanaweza hata kula nyasi if there is nothing!! Investors wont promote kilimo as long as madini na more profitable investments zipo, kumbuka they are doing business as well. kilimo kitakuzwa na serikali/wazawa tuu.

politics and decision making!! the US produces 1/4 ya chakula cha dunia lakini hawawezi kukitoa tuu bila policy maalum, same with other parts of 1st world. they work hard to get what they have, y should the poor/small countries not do the same?
 
Wenzetu wametumia rasilimali ya mafuta kufika hapo walipo,sisi tunatumia rasilimali ya FITNA,MAJUNGU,ROHOMBAYA NA KUKOMOANA ndo vimetufikisha hapa.MADINI,GESI,MAFUTA,MISITU,MAZIWA bado tu tunasuburi kupewa misaada hata ya kujengewa choo????????? AU TUMELOGWA??????????
 
King'asti wanasema kila mtu angekula kiasi kile kinachomtosha bila kusaza, kusingekuwa na njaa duniani-ni bora urudi mezani mara tatu kuongeza kuliko kujaza sahani na kubakisha chakula

Ni kweli babangu. Ni utamaduni m'baya sana. Huwa naangalia maharusini jinsi mtu anavyobeba sahani hadi haoni mbele afu anaacha chakula. Ukimuangalia kavaa kapendeza utasema mstaarabu
 
Last edited by a moderator:
Inasikitisha mtu wangu, bora ningekatwa mshahara wangu kama nssf ichangie watu kama hao kuliko kukatwa iende nssf ikinisubiria nifike miaka 55!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…